Tanesco hongereni kwa kupiga hatua kiutendaji.
Zamani mlikuwa Kama Mungu mtu, japo bado mnahitaji kubadilisha zaidi.
Kuna mtu anateseka na umeme wiki mbili sasa, amepiga simu hadi wamemchoka wakawa hawapokei tena.
Wamekuja mara mbili hapakuwa na mafanikio hadi leo, huyo mtu anafiga ng'ombe wa maziwa wanne, lita 30 kila siku, alikuwa anauza 2,000 yakibaki anatia kwenye friji, Sasa Hana friji anauza 1,000 ili yaishe, wateja wa oda had mchana au alasiri amepoteza.
Hakkna namuonea huruma.
Hata alipo fika ofisini majibu alopewa siyo SAWA YAKE.
Naomba kuiliza, ATOE NINI AU AFANYEJE AEPUKE HII HASARA?
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app