Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 487
- 700
Yaani na hii mvua ya leo toka jana usiku na nyie mkapata kigezo cha kukata umeme hapo hapo mpaka mida hii najua mtakua mmesave sana gharama huku mkitesa raia....acheni kufanya watanzania mamburula kwa kukatakata umeme kila mvua inaponyesha.Mvua kidogo tu mnapata kisingizio cha kukuta umeme au ndo kunguru wa usiku hao....yaani nyie jamaa nyie,kama mnasave gharama za uendeshaji kiaina si msema tu au mtoe tangazo la mgao wa umeme!?
Tafadhali onyeshaYaani na hii mvua ya leo toka jana usiku na nyie mkapata kigezo cha kukata umeme hapo hapo mpaka mida hii najua mtakua mmesave sana gharama huku mkitesa raia....acheni kufanya watanzania mamburula kwa kukatakata umeme kila mvua inaponyesha.
Jina: Shabani Kawina
Eneo: kata msongola, mtaa wa mvuleni
Namba ya simu: 0763531628/0783349834
Kero: Tanesco Emergency Kisarawe kutofika kurekebisha nguzo iliyochimbika chini kutokana na athari za mvua. Aidha, tangu mvua za mwezi oktoba, 2020 mpaka Desemba, 2020 kuna nguzo imechimbika na Hali ilivyo Sasa muda wowote inaweza kuanguka na kuleta athari kwa wananchi tunaotumia nguzo hiyo kupata huduma ya umeme. Kitengo Cha Tanesco Emergency Kisarawe wenye namba ya simu 0655989935 tumekula tukiwapigia simu Mara kwa Mara tangu mwezi oktoba mpaka Sasa Mara kadhaa wamekuwa hawapokei simu, na hata kipindi wanapopokea simu hutoa ahadi ya kuja wananchi tunawasubiri na hawatokei.
Tunaomba Tanesco mje kurekebisha nguzo hiyo Kama kuhamisha kwa kuweka sehemu isiyokuwa na athari na njia ya maji pindi mvua inaponyesha. Thanks.
Upo.kundi sahihi la matumizi ya nyumbani mwezi uliopita umetumia unit 92Habari Tanesco
Mimi naitwa hamis kindamba ninaombi moja kubwa kwenu chondechonde ninaomba mita namba hii 43015453707 irejeshwe kwenye matumizi ya nyumbani means matumizi ya kawaida haiwezekani leo umeme wa shilingi elfu tisa napata unit 26 sijui 28 wakati friji siwashi ninatv [emoji342] pamoja na feni
JINA hamis kindamba
MAHALI DAR ES SALAAM
WILAYA TEMEKE
MBAGALA
CHAMANZI KWA MAPEMBA
METER NO.43015453707
SIMU NO 0783721337
Imepokelewa kwa hatua zaidi
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kaziNawasilisha malalamiko nipo Geita,nimetoa taarifa zaidi ya wiki mbili sasa lakini kimya hadi leo,nimeenda ofsini kwao zaidi ya mara tatu,
Kuna mti wa mnazi ambao matawi yake yamedondokea juu ya nyaya za umeme mkubwa,haiwezi kupita siku bila moto mkubwa kuwaka kati ya nyaya na huo mti,na ni nje kidogo tu ya ofisi yao,Naomba msaada maana tatizo hilo sio dogo litakuja leta madhara makubwa kama mtalipuuzia.
Temporary Breakdown number 0026
0715 860702
Tadhali tusaidie wilaya,simu yake kwa hatua zaidiTanesco hongereni kwa kupiga hatua kiutendaji.
Zamani mlikuwa Kama Mungu mtu, japo bado mnahitaji kubadilisha zaidi.
Kuna mtu anateseka na umeme wiki mbili sasa, amepiga simu hadi wamemchoka wakawa hawapokei tena.
Wamekuja mara mbili hapakuwa na mafanikio hadi leo, huyo mtu anafiga ng'ombe wa maziwa wanne, lita 30 kila siku, alikuwa anauza 2,000 yakibaki anatia kwenye friji, Sasa Hana friji anauza 1,000 ili yaishe, wateja wa oda had mchana au alasiri amepoteza.
Hakkna namuonea huruma.
Hata alipo fika ofisini majibu alopewa siyo SAWA YAKE.
Naomba kuiliza, ATOE NINI AU AFANYEJE AEPUKE HII HASARA?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ahsante sanaAsante kiongozi.
Wilaya temeke, Mbagala, Chamanzi Bamia kituo,
Mzee kidubule
Namba ya simu +255687048766
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tafadhali onyeshaHabari za muda huu na hongereni kwa kazi nzuri, lakini mbona leo ni siku ya pili mfululizo umeme hakuna umeme kuanzia asubuhi had mchana ukiwashwa usiku tu , na wakati hyo mvua yenyewe hakuna, sasa huo uchumi tunaujenga na nini? , maana hata maji hakuna sababu ya umeme hakuna , temeke kwa aziz ali, mtoni, bustan na viunga vyake
Tatizo limeanza jana asubuhi 11/1/2021Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi