Badala ya kuwekaweka minamba ya simu na mi-email address hapa, someni na kutolea majibu uzi huu ttps://www.jamiiforums.com/threads/hivi-kuna-mgao-wa-umeme-dar.1842690/

kamanyani
 
Tanesco kuna shida gani? nimelipia umeme mwezi mmoja na nusu umepita sijafungiwa umeme! Humu nimelalamika wee lakini hamna hatua yoyote:

Wilaya:Ilala
Kituo:G/mboto
Simu: 0622239935
nimekuwa nikiwatumia hili swala langu sasa unaenda mwezi wa pili sijawekewa umeme toka nilipie service line! mtu wenu wa G/Mboto alinipigia simu mara moja wiki 2 zilizopita matokeo yake ananiambia kwamba hana la kufanya! kwani nyie Tanesco mna matatizo gani nimeshalipia karibia miezi 2 umeme hamnifungii? kama kuna tatizo mseme basi.
 
Tunaomba kukiwa na tatizo la Umeme muwe mnatupa taarifa, huku Moshi wakikata asubuh Ni hadi usiku bila taarifa zozote kwa sisi watumiaji,kubwa zaidi nna vitu vya kuharivika na sijui fidia ntaipata wapi
 
Arusha tangu juzi umeme unakatika mchana mpk usiku saa saba ndo unarudi. Hakuna taarifa yoyote tunayopewa. Vitu vinaharibika kwenye ma friji na simu hazipatikani. Ukizingatia wengine biashara zetu zinategemea uwepo wa umeme..
 
Mimi NI mteja wenu wa muda mrefu Sasa.
Mwezi Desemba nilibadilishiwa mita kwani ile ya mwanzo ilikuwa na matatizo na ilikuwa na unit zaidi ya 70.
Sasa tangu WAKATI huo nafuatilia waweze kurudisha unit zangu imeshindikana Hadi Mimi naonekana NI Keri kwao.
Sasa nifanye nini ili nirudishiwe unit zangu?
 
Tunaomba kukiwa na tatizo la Umeme muwe mnatupa taarifa, huku Moshi wakikata asubuh Ni hadi usiku bila taarifa zozote kwa sisi watumiaji,kubwa zaidi nna vitu vya kuharivika na sijui fidia ntaipata wapi
Daah yaaan moshi umeme ni wakiwaki axee........ Ni keroooo yan matatzo kibao...kila siku umeme unasumbuaaaa
 
Kwann msitoe ratiba ya upatikanaji kutokana na hayo matengenezo?
 
Tanesco mbona mnakata sana ume posta yaani hapa kazi imesimama tunasubiri murudishe umeme wenu jamani
 
Nimefuatilia sana na kuandika barua za kutosha kwa meneja wa tanesco ILEMELA ili niungwe kwenye tariff 4 lakini ni mwaka na nusu sasa nazungushwa tu.Kwa kuwa tanesco mmo humu naomba mnisaidie kwa hilo na namba yangu ya mita ni 43021956396 niko ilemela mwanza.Matumizi yangu hayajawahi kuzidi unit 25 kwa mwezi.MSAADA WENU TAFADHALI.
 
Jana usiku mmetukatia umeme Hadi Sasa hivi kwa baadhi ya nyumba ila nyumba nyingine umeme upo turudishieni
Mahali ni ukonga kichangani
 
Jana usiku mmetukatia umeme Hadi Sasa hivi kwa baadhi ya nyumba ila nyumba nyingine umeme upo turudishieni
Mahali ni ukonga kichangani
Tafadhali onyesha namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…