Mkuu.Je unapiga simu namba ngapi? Tafadhali onyesha namba yako ya simu eneo tatizo kwa hatua zaidi hata inbox
Acheni uongo wewe jamaa, jana kabisa kaongea na meneja mkoa akamwambia bei ya nguzo ni laki nne na pesa flan karbia laki tano ambavyo ye amepiga hesab akakuta nguzotu mpaka umeme ufike nyumban inahitajika 4millions,,, hata masaa24 hayajafika ameambiwa! Je upi ukweli? Mbona mnapingana kwenye kampuni?? Au wahitaji tuscreen shoot mesej kama evidence ndo uelewe??Mteja halipii nguzo bali alipia gharama halisi ya kuunganishiwa umeme na kama eneo lako linahitahi nguzo unapaswa kusubiri miundombinu ikufikie
Tafadhali tambua nguzo haziuzwi na mteja halipii nguzo bali gharama halisi ya kufungiwa umeme.Kama upo mbali tunakusihi kusubiriAcheni uongo wewe jamaa, jana kabisa kaongea na meneja mkoa akamwambia bei ya nguzo ni laki nne na pesa flan karbia laki tano ambavyo ye amepiga hesab akakuta nguzotu mpaka umeme ufike nyumban inahitajika 4millions,,, hata masaa24 hayajafika ameambiwa! Je upi ukweli? Mbona mnapingana kwenye kampuni?? Au wahitaji tuscreen shoot mesej kama evidence ndo uelewe??
Sawa umeeleweka vema hivyo tutaupinga utapeli kwa nguvu.Tafadhali tambua nguzo haziuzwi na mteja halipii nguzo bali gharama halisi ya kufungiwa umeme.Kama upo mbali tunakusihi kusubiri
Je umepewa namba ya taarifa ngapi? Wilaya namba ya simu tafadhaliUmeme hauingii kwenye Luku toka jana hapa Kilakala bong'ola leo nawapigia Tanesco wananiambia miye hizo ni za kubadili mpk jumanne. Mtanisaidiaje. Nikiingiza token inasoma 9012 kwenye Luku.
Namba ya taarifa TB 0195 na simu namba yao 06770633001 Morogoro mjiniJe umepewa namba ya taarifa ngapi? Wilaya namba ya simu tafadhali
Huduma itarejea mapema wakandarasi wanaojenga reli walisababisha baada ya moundombinu kuathirikaHIVI KILICHO WAFANYA MKATE UMEME LEO 4/04/2021 PASAKA HII NI NINI MBONA MNA MAMBO YA HOVYO HIVYO MNATAKA WOTE TUWE NA HUZUNI KILAZIMA
HII LAINI YA mongola dege /gongolamboto
Baada ya kuwapa haya maelezo nini kinafuataNamba ya taarifa TB 0195 na simu namba yao 06770633001 Morogoro mjini
Unge screen shoot hiyo meseji na namba yake ionekane ashuhhulikiwe kikamilifuAcheni uongo wewe jamaa, jana kabisa kaongea na meneja mkoa akamwambia bei ya nguzo ni laki nne na pesa flan karbia laki tano ambavyo ye amepiga hesab akakuta nguzotu mpaka umeme ufike nyumban inahitajika 4millions,,, hata masaa24 hayajafika ameambiwa! Je upi ukweli? Mbona mnapingana kwenye kampuni?? Au wahitaji tuscreen shoot mesej kama evidence ndo uelewe??
Ushauri mzuri ila ngoja njitafakariUnge screen shoot hiyo meseji na namba yake ionekane ashuhhulikiwe kikamilifu
Temeke EmergencyTanesco mkoa wa kikanda temeke hizo nqmba za dharula mziondoe hazinq maana ya ttcl wanasema haipo , hizo nyingine hazipokelewi halafu mmetukatia umeme nq sikukuu yote
Hivi kwa nini mmekata umeme siku ya leo kuanzia asubuhi hususan chang'ombe temeke ?Temeke Emergency
Mobile 022 213 8352
Home 0758 880 155
Tafadhalo onyesha namba yako ya simu na tatizo kwa hatua zaidi
Wilaya ya Mkuranga inabidi Maneja wa Tanesco awe miongoni mwa watakaofurushwa na Waziri mwezi huu. Kila baada dakika 20 umeme unakatika. Ni kitambo sana. Tatizo ni nini?Huduma itarejea mapema wakandarasi wanaojenga reli walisababisha baada ya moundombinu kuathirika
Hilo namba 4 ndio linanikuta kila siku. Wazee wako kijijini na hawawezi kuona hayo matarakimu mengi. Mtihani kweliHabari TANESCO
Hii post nimeirudia kwa msititizo kwani niilipost tena nafikiri mwaka jana
Niliwashauri mnunue technologia ya kuwezesha mteja akinunua token iende moja kwa moja kwenye mita yake...Naamini hii ni technologia niya kawaida ambayo hata hapa nyumbani ( TZ) wanaweza kutengeneza;
1. Imagine umeacha watoto nyumbani umeme uishe
2. Imagine umeme umeisha usiku wa manane na mita ipo nje
3. Imagine umeme umesha usiku wa manane na huna battery za kuweka kwenye kile kimita cha vocher
4. Imagine unataka kukwawekea wazee umeme kijijini ( wazee wa miaka 70+ wataweza kuona tarakimu 20 kwa simu ya tochi?
Mambo ni mengi sana yaani ukifikiria vizuri utaona kuna kitu hakipo sawa kwenye technologia
Nafikiri lengo lisiwe kufikia watu wengi pekee...liwe ni pamoja na maboresh ya huduma
Kuna namba mmeweka ya ttcl 0737997361 ukipiga haipo, kuna no nyingine 0712052720 pamoja na hiyo ya voda mliyotaja ukipiga simu hazipokelewi umeme wameturudishia saa sita usiku sababu ya kukatiwa haielewekiTemeke Emergency
Mobile 022 213 8352
Home 0758 880 155
Tafadhalo onyesha namba yako ya simu na tatizo kwa hatua zaidi