jamani mimi ninashida kwenye mita yangu ni siku ya tano leo hakuna umeme,lakini kwenye king'amuzi unit zipo za kutosha sasa sielewi shida ni nini.
 
Tanesco huku chalinze tangu jana jioni mpaka sasa hatuna umeme simu zinaishiwa chaji vitu kwenye friji vinaharibika tatizo ni nini
 
Tanesco huku chalinze tangu jana jioni mpaka sasa hatuna umeme simu zinaishiwa chaji vitu kwenye friji vinaharibika tatizo ni nini
Poleni sana, robot litawajibu sasa hivi, uko wilaya gani, tupatie namba yako ya simu.😅

Everyday is Saturday................................😎
 
Tanesco huku chalinze tangu jana jioni mpaka sasa hatuna umeme simu zinaishiwa chaji vitu kwenye friji vinaharibika tatizo ni nini
Tafadhali onyesha eneo gani na namna yako ya simu tafadhali
 
jamani mimi ninashida kwenye mita yangu ni siku ya tano leo hakuna umeme,lakini kwenye king'amuzi unit zipo za kutosha sasa sielewi shida ni nini.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Poleni sana, robot litawajibu sasa hivi, uko wilaya gani, tupatie namba yako ya simu.[emoji28]

Everyday is Saturday................................[emoji41]
Acha kupotosha tafadhali wanaotoa taarifa kamilo watakuwa mashahidi wanapata huduma
 
Mteja hanunui CIU maarufu kama remote bali atawajibika kuilipia kama ameiharibu yeye mwenyewe
Ahsante, nimekuelewa. Yangu haikuharibiwa imetokea tu ile screen yake haioneshi maandishi, ingawa inawaka.
Nimefika ofisini wanataka ninunue mpya kabisa kwa gharama kubwa.
Je haiwezekani kurekebisha?
Gharama ya kupata mpya ni kiasi gani?
 
Hivi tanesco siku 30 za kufungiwa umeme huwa ni za nini? Ni kweli upatikanaji wa vifaa unaweza chukua huo muda wote? (Just meter tu) mtu unaamka unaangalia nyaya zimepita bati lako lakini wewe huna nishati ya umeme, mbaya zaidi majibu yenu ni yale yale vifaa bado hatujapata, zikiwa tayari mtajulishwa, ukifatilia sana hujibiwa kabisa, namba za simu mnazoziweka kwenye maofisi hazipokelewi, hata ikitokea ukapata namba ya muhusika nae hakupokelei imekuwa vita sasa.
Tusaidieni jamani mtu umeshalipa kila kitu, saveyi imeshafanyika kuja kufungiwa tu nayo iwe big deal?

Biashara gani mnafanya hamjali wateja wenu? Mtu analipia apate huduma mwisho wa siku inapita miezi hakuna bidhaa aliyolipia?

Binafsi nimeshachoka kulalamika, kufanya kazi kwa shinikizo sio vizuri.
 
Ukipiga simu hawapokei simu kwa wakati inaita tuuu, ikitokea wamepokea ukieleza shida yako wanakwambia mafundi wanaohusika watakuja kushughulikia tatizo. Shida inakuja ukiomba namba ya taarifa hawakutajii wanakwambia system ipo chini.

Utaendelea kufuatilia kuwapigia simu kuwakumbusha wanakuuliza nipe namba ya ripoti nawaambia sikutajiwa niliambiwa system ipo chini na kazi haitafanyiki tena.

Inaonekana hukutoa taarifa kwao juu ya tatizo lako, kuna wakati Mh Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe aliwahi kuwaweka ndani baadhi ya wafanyakazi kwa utendaji mbovu wa kazi na aliwataka kila mtu mwenye shida yake akiwapigia Tanesco watoe namba ya taarifa. Wahusika tafadhali fuatilieni utendaji wa wafanyakazi kituo cha Gongo la mboto ni wa hovyo.
 
Upo sahihi, mimi nina namba ya taarifa tangu mwezi 3, 2019 tena niliifuata mwenyewe ofisini lakini tatizo langu halijatatuliwa. wananiambia tatizo lako tunalipeleka kitengo cha mita. Kila nikipiga simu nikiwapa namba ya taarifa wanashangaa hujahudumiwa. Yaani wenyewe wanajiogopa.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Taafadhali tutumie hata inbox tukusikilize

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Tafadhali tuonyesha namba ya taarifa na mwezi uliotoa taarifa tuifanyie kazi
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Namba ya taarifa sikutajiwa niliambiawa systeam ipo chini
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Adelina Jonas
Sakina
Arusha mjini
0764262952
Mita
9/4/2021
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Majibu yenu ni hivyo hivyo siku zote, nimereply post yangu ya nyuma ambayo mliniuliza the same qns na nikawajibu.

Any way

Jina: Johnson mgaya
Simu: 0768900531
Eneo: mkokozi
Wilaya: mkuranga
Tatizo: kuungaishiwa umeme
Muda: siku 30 zimeshapita tangu nilipie umeme
Mazingira: nguzo ipo mlangoni kwangu.
 
Tunafatilia taarifa zako kwa hatua zaidi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…