Yaani mtu uko kwenye shughuli zako unashangaa unapigiwa simu kwamba uko wapi tumekuja kufunga umeme au kuweka nguzo.
Ni jambo jema mteja kupigiwa simu ili kuelezwa mpango wa kuja.
 
Yaani mtu uko kwenye shughuli zako unashangaa unapigiwa simu kwamba uko wapi tumekuja kufunga umeme au kuweka nguzo.
Ni jambo jema mteja kupigiwa simu ili kuelezwa mpango wa kuja.
Kuna likishoka la tanesco limenitapeli sina hamu.
 
Ni takriban siku ya tatu sasa mkoa wa Morogoro tupo gizani mara baada ya kituo cha kusambaza umeme kuwaka moto, sijaona TANESCO wakija na mbadala wa kuhakikisha tunapata umeme au kutueleza kuwa tutakaa gizan kwa muda gani, mwenye taarifa tafadhal tujuze.
 
Ni takriban siku ya tatu sasa mkoa wa morogoro tupo gizani mara baada ya kituo cha kusambaza umeme kuwaka moto,sijaona tanesco wakija na mbadala wa kuhakikisha tunapata umeme au kutueleza kuwa tutakaa gizan kwa muda gan,mwenye taarfa tafadhal tujuze
Tutamkumbuka JPM [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ni takriban siku ya tatu sasa mkoa wa morogoro tupo gizani mara baada ya kituo cha kusambaza umeme kuwaka moto,sijaona tanesco wakija na mbadala wa kuhakikisha tunapata umeme au kutueleza kuwa tutakaa gizan kwa muda gan,mwenye taarfa tafadhal tujuze
Mbona walisema 24hrs utakuwa umerudi
 
Watakuwa wanakusanya tozo kununua mtambo mpya......mji kukaa kwenye blackout siku tatu mfululizo hiki nacho ni kituko cha karne.
 
Rejea kichwa habari hapo , Leo ni siku ya nne huku Dakawa , Dumila , Na Maeneo mengi ya wilaya ya mvomero ..., Napenda kuhuliza tatizo ni nini maana umeme ndo maendeleo yetu TANESCO
 
Rejea kichwa habari hapo , Leo ni siku ya nne huku Dakawa , Dumila , Na Maeneo mengi ya wilaya ya mvomero ..., Napenda kuhuliza tatizo ni nini maana umeme ndo maendeleo yetu TANESCO
@TANESCO helo tanesco ,nipo nahangaika hapa umeme kwangu umeisha kabisa kuna namba nilipewa ofisin ziko makundi mawili niziweke ili baadae niweke umeme ila cha ajabu namba zote zinaandika no no no tu
 
Tanesco kurasini kuweni na adabu na wateja wenu , haiwezekani siku ya kazi mnafanya kikao kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tano asubuhi hivi hao wateja hawana shuguri ya kufanya au Tanesco kurasini wamekosa muda sahihi wa kufanya vikao
 
Habari viongozi!
Rimoti yangu ya kuingizia luku haifanyi kazi
Tangu nipewe niko, Mlimba-Morogoro
 
Tunaomba Msaada. Hii ni KOLA B, Morogoro. Hii case imekuwa reported tangia 3/8/2021.

Nguzo mbili zimeoza, matokeo yake nyaya zipo kwenye bati.

Hivi mnasubiria hadi hizi insulated wires zichubuke, ilete ajali, then tuseme ni MAPENZI y Mungu?
 
Attachments

  • 20210812_173409.jpg
    63.6 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…