SALE! SALE! SALE!!
NEW SAMSUNG GALAXY
S8........480,000
S8+......560,000
S9........560,000
S9+......670,000
S10+ 128GB..970,000
NOTE 8..........600,000
NOTE 9 128GB.770,000
NOTE 10....1.1M
NOTE10+ 256GB..1.3M
CALL/TEXT 0621940104 https://t.co/7zVjHhBXMV
 
Meter na 24219578069
Jina Athuman
Tarehe 13-8-2021
Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
 
Ushauri wangu kwenu Tanesco. Fanyen Mambo kisasa, Dunia inakimbia sana. Suala la kusajili mita likamilishen toka mnapomfungia mteja mpya umeme. Mkikabidhi kila kitu kiwe ok. Sio aende kituon akasajili mita
 
Wacheki tigo huduma kwa mteja. Airtel nilipewa codes za kuangalia token za luku endapo umefuta msg. Sema nimeisahau
Meter na 24219578069
Jina Athuman
Tarehe 13-8-2021
Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
 
Hivi kwa nini siku za karibuni umeme unakatika katika hovyo huku Dodoma tena bila taarifa.....wakati kwa miaka mitano mfululizo wakati wa JPM haikuwahi kutokea?mnatuambia nini TANESCO ? Ni kweli biashara zenu za kishenzi zinaanza kurudi?
 
Thanks you my brother, solved already through tigo pesa customer care
Wacheki tigo huduma kwa mteja. Airtel nilipewa codes za kuangalia token za luku endapo umefuta msg. Sema nimeisahau
 
Meter na 24219578069
Jina Athuman
Tarehe 13-8-2021
Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
Download app ya GePG Tanzania, utaweza kuangalia last token
 
Meter na 24219578069
Jina Athuman
Tarehe 13-8-2021
Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
Nenda kwenye app ya Gepg utapata option ya kuzipata
 
TANESCO hivi tatizo la umeme Kimara litaisha lini?
Kila miezi na version yake.

Sasa hivi umeme unakatwa hata mara sita kwa siku.

Kwanini tatizo hili haliishi?

TANESCO hebu kafuatilie na kutathmini utendaji kazi wa zile feeders zenu za nordic pale Ubungo utuambie tatizo hili la kimara linaisha lini?!
Ngoja tukusaidie kazi sasa maana tumechoka.
 
kuna nguzo tanesco wamesimika ndami ya kiwanja changu kigamboni. kiwanja kimepimwa kina hati. ni viwanja vya mradi
 
TANESCO NAOMBA KUULIZA’ HIVI ‘EMERGENCY’ kwenu maana yake ni nini?, usiku saa sita nime piga simu kituo cha mikocheni ‘emergency’ na kuwaelezea tatizo la umeme kwenye nguzo lililosababisha kukosa umeme hadi sasa lakini yamepita masaa saba hakuna responce yoyote, na hii imekua si mara ya kwanza kutoa ripoti kama hizi lakini imekua hali ni kama hivi, bora hicho kitengo kisiitwe ‘EMERGENCY’ maana emergency ni ‘ RESPONCE at an instant’ ni bora tu kiitwe ‘ kituo cha kuripoti taarifa’
REFERENCE 2194 OF 17/08/21
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
kuna nguzo tanesco wamesimika ndami ya kiwanja changu kigamboni. kiwanja kimepimwa kina hati. ni viwanja vya mradi
Tafadhali fika ofisi za eneo lako toa taarifa hii kwa maandishi
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi

Pokeeni tu maana hata hizo nilizotuma awali zilipokelewa wakasema hivyo hivyo!, napanga ku file official complaint EWURA ili waingilie Kati hili suala ‘Emergency’ maana halikidhi uwepo wake katika maana halisia.
 
Taarifa yako imepolewa saa 00.043 usiku wa kuamkia leo na mafundi wetu wamefoka nayo kuufanyia kazi hivyo tunaomba utulivu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…