2021mao
Member
- Aug 19, 2021
- 79
- 75
Mpaka sasa hawajarekebisha. Wanakusanya mapato wanatuvutisha subra kwa lazima.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni ndoto mzee. Hizo ni siasa tu wala usiwe unasikiliza hayo matamko.Mbona Waziri aliwapa siku 4 na wakaahidi kurudisha hali ya umeme kuwa sawa??
Hapo sawa ngoja ninunue naleta mrejesho.ndugu mteja,
nunua umeme wa zaidi ya 2000 kwa ajili ya makato ya kodi ya pango
Ufafanuzi huu mngeutoa ipasavyo maana watu tunaugulia tu..halafu sisi wapangaji mnatulipishaje kod ya jengo?Kodi za majengoView attachment 1901355View attachment 1901356
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Ivi hujui TANESCO ni taasisi kimeo kama vimeo vingine.Jamani mbona tanesco mnatunyanyasa na luku?
Tafadhali onyesha namba ya mita kwa maelezo zaidiNaomba ufafanuzi hapo
Nilijaza elfu tatu ikakataa,nikajaza elfu nne ikakataa,nimejaza elfu tano,mmechukua nusu ya elfu moja kwenye Deni lenu la mita na elfu nne kwa ajiri ya Kodi ya jengo ingawa tumetangaziwa kuwa mnakata elfu 2 tu ,sijaelewa kwanini nikwate hivo
View attachment 1902037
01340334885Tafadhali onyesha namba ya mita kwa maelezo zaidi
Wewe utakuwa na deni labda.Naomba ufafanuzi hapo