TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Unapochukua fomu ya kuingiziwa Umeme lazima uwe na kitambulisho Cha taifa na Passport size au mpaka siku ya kurejesha fomu?
 
TANESCO tangu jana najaribu kulipia Umeme inashindikana je kunatatizo kwenye mfumo wenu wa LUKU
 
ndugu mteja,
nunua umeme wa zaidi ya 2000 kwa ajili ya makato ya kodi ya pango
 
Kodi za majengo
Screenshot_20210821-121556_Twitter.jpg
Screenshot_20210821-125842_Twitter.jpg
 
Taarifa zake za nini ili mkakate umeme kabisa au, mana watu wanauliza vitu vya msingi hamjibu mkiambiwa tannesco ni kampuni ya hovyo, ooh tupe taarifa zako
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Mtu kila mwezi analipa 10,000 ya umeme na utakuta mwezi huu kalipa hiyo hiyo lakini na yeye analalamika kulipishwa kodi ya jengo,mpangaji wewe lipa kiasi unacholipa siku zote nyongeza atalipa mwenye nyumba.
 
Naomba ufafanuzi hapo
Nilijaza elfu tatu ikakataa,nikajaza elfu nne ikakataa,nimejaza elfu tano,mmechukua nusu ya elfu moja kwenye Deni lenu la mita na elfu nne kwa ajiri ya Kodi ya jengo ingawa tumetangaziwa kuwa mnakata elfu 2 tu ,sijaelewa kwanini nikwate hivo
IMG_20210821_171714.jpg
 
View attachment 1902037
Tafadhali onyesha namba ya mita kwa maelezo zaidi
 
Naomba ufafanuzi hapo
Nilijaza elfu tatu ikakataa,nikajaza elfu nne ikakataa,nimejaza elfu tano,mmechukua nusu ya elfu moja kwenye Deni lenu la mita na elfu nne kwa ajiri ya Kodi ya jengo ingawa tumetangaziwa kuwa mnakata elfu 2 tu ,sijaelewa kwanini nikwate hivo
View attachment 1902037
Wewe utakuwa na deni labda.
 
TANESCO huu ni wizi wa kiwango cha lami.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
 
01340334885
Hii mita inadeni lililohamishiwa kutoka mita ya kusoma ya zamani ndio maana umekatwa deni hilo pamoja na kodi ya majengo.Tafadhali kama una maswali kuhusu deni hili fika ofisi zetu
 
Back
Top Bottom