Tafadhali onyesha tatizo, Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
Ninyi hata mkipewa taarifa za tatizo, hamfanyii kazi.

Taarifa za matatizo yetu mnapewa lakini mnayapotezea. Only 0.06% of reported problems have been solved.
 
Ninyi hata mkipewa taarifa za tatizo, hamfanyii kazi.

Taarifa za matatizo yetu mnapewa lakini mnayapotezea. Only 0.06% of reported problems have been solved.
Taarifa zenye taarifa kamili zinafanyiwa kazi hivyo onyesha

Tatizo

Eneo

Namba ya simu

Namba ya taarifa

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Nina Swali Wakuu!!

Hivi kama umenunua unit za umeme then kifaa cha kuwekea umeme kikawa kimepotea, hakuna namna yoyote nyengine ya kufanya ili unit zile ziweze kusoma kwenye hiyo mita?
 
Tanesco mnifafanulie..mimi nimfanyabiashara ambaye nimepanga kwenye jengo la serikali lakini nina luku yangu ambayo inasoma jina la biashara yangu najilipia umeme mwenyewe je na hiyo ntakatwa kodi ya jengo? Na nalipa umeme mwingi maana ni kiwanda kidogo.

Pili katika nyumba tunazoeshi mwenye nyumba yupo ulaya mi nipo tz kwenye ile luku imeandikwa jina la mwenye nyumba na mimi ndiyo nalipia umeme kesi kama hiyo ntafanyaje?

Mnataka nimdai mwenye nyumba hiyo buku mnayokata au? TANESCO
 
Unashauriwa kutoa taarifa ofisi za TRA za eneo husika kwa uhakiki
 
Nina Swali Wakuu!!

Hivi kama umenunua unit za umeme then kifaa cha kuwekea umeme kikawa kimepotea, hakuna namna yoyote nyengine ya kufanya ili unit zile ziweze kusoma kwenye hiyo mita?
Unapaswa kupata loss report uandike na barua kwenda kwa meneha wa eneo lako
 
TANESCO na TRA.
Mtuweke sawa wananchi kwenye hili la kulipia majengokupitia manunuzi ya luku ili lisiumize wengine.

Niteoe mfano wangu binafsi,
Jengo langu nina Mita za luku 4 moja jkiwa kwenye Jango dogs la vyumba 2 vilivyoanza kutumika awali kabla kujenga.

Swali nitalipia kila mita Tsh 1000/= ninunuapo umeme! Kitu ambacho kitafanya kulipia zaidi?
 
Unapaswa kupata loss report uandike na barua kwenda kwa meneha wa eneo lako
Naomba kujua, mfano Nina mita ya umeme wa matumizi madogo na huwa nanunua umeme wa 9000 kila mwezi, je baada ya kodi ya majengo kuwekwa, nitapaswa kulipia kila mwezi 10, 000? Na kwa hiyo 2000 nitalipia 11,000?

Don't ignore please
 
Hatua nzuri.
Nashauri maombi ya kuunga umeme yawe online na mfumo usomane nchi nzima na uwe unaweza kufuatiliwa kwa wote TANESCO, Wizara na Mteja.
 
HIVI TANESCO,NI SHIRIKA LILILOIDHINISHWA KUDAI RUSHWA KWA WATEJA? OFISI YA TAWI USHIROMBO/BUKOMBE,HAWATOI CONTROL NAMBA YA MALIPO YA KUUNGANISHIWA UMEME,NAAMBIWA ILI IWAHI KUTOKA NITOE KITU KIDOGO,(RUSHWA) KWANI PESA HIYO SIO YA TANESCO? INAKUWAJE NAMBA YA MALIPO ICHELEWE KUTOKA KWA ZAIDI YA WIKI 4? NAMBA HIYO MBONA TAASISI ZINGINE NI DAKIKA 5 TU NAMBA UNAPEWA,NINYI SIKU 30?,HONGO IKITOKA UNAPEWA SIKU HIYOHIYO,MENEJA,NA MKURUGENZI MNAKUMBATIAJE UONEZI HUO? MJITATHIMINI,KAMA MNAFAA,WATUMISHI MMEWALEA SANA NA KUWAPA KIBURI!
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tutumie hizo taarifa hata inbox tafadhali
 
Naomba kujua, mfano Nina mita ya umeme wa matumizi madogo na huwa nanunua umeme wa 9000 kila mwezi, je baada ya kodi ya majengo kuwekwa, nitapaswa kulipia kila mwezi 10, 000? Na kwa hiyo 2000 nitalipia 11,000?

Don't ignore please
Unaongeza 2000 kwa mwezi wa saba na na wa nane lakini kuanzia mwezi wa tisa ongeza 1000 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…