Ndugu mpendwa Mteja wetuNimelipia Maunganisho Mapya Tarakea Rombo tangu 22/april/2021 mpaka leo sijafungiwa umeme.Why.
Naomba namna nyingine ya kuwasilisha malalamiko zaidi ya hapa.hapa siwezi kuweka mawasiliano yangu.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Mita ni ya kwangu na sijakosea hata namba moja, na kodi yao ya jengo wameshanikata 4000 nilikuwa sijawahi kulipa, nimerudia zaidi ya mara tano nimechoka.Inawezekana unakosea kuingiza umeme au umenunua kwa mita ambayo sio yako
Ndugu mpendwa Mteja wetuMita ni ya kwangu na sijakoses hata namba moja, nimerudia zaidi ya mara tano nimechoka.
Solution ni nini? Natumia luku za zamani Econ siyo hizi za remort.
Note, namba ya mita imeandikwa kwenye mita siwezi kujichanganya au kukosea kitu rahisi kama hicho.
Kwanza maliza tatizo la nguzo nililokupa kitambo na TB namba na mpaka leo hakuna utekelezaji halafu ndio uniingize kwenye porojo hii.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya mita
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tafadhali onyesha namba ya taaarifa? Wilaya na umetoa taatifa lini kwa hatua zaidiKwanza maliza tatizo la nguzo nililokupa kitambo na TB namba na mpaka leo hakuna utekelezaji halafu ndio uniingize kwenye porojo hii.
Mimi nitakwenda mwenyewe ofisi, najuwa namna ya kudeal na vichwa ngumu.
Ndugu mpendwa Mteja wetumkuu naomba kujua kama umeshajaza fomu ya maombi ya kuunganishiwa umeme inachukua mda gani surveyor kufika site?
Nimejaza fomu ya kuunganishiwa umeme toka mwezi wa 6 mpaka mwezi huu sijatembelewa na surveyor kila nikienda Tanesco naambiwa surveyor atakuja.
Jina:Emmanuel MwaipopoNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Ahsante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidiJina:Emmanuel Mwaipopo
Eneo:Bonyokwa kisiwani
Wilaya:Ilala
Namba ya simu:0747732569
Tatizo:Toka nimejaza fomu ya kuunganishiwa umeme mwezi wa sita 2021 mpaka leo hiii sijatembelewa na surveyor Kila nikienda Tanesco naambiwa surveyor atakuja
Toka lini:Mwezi wa 6,2021
Ahsante sana
Ndugu mpendwa Mteja wetuShoti imetokea na waya umekatika mtaa wa Mkuti kati, Masasi, Mtwara leo saa 5 asubuhi tumewapigia sana simu zaidi ya mara 10 na watu tofauti namba ya watoa huduma mpaka tunapokelewa Tanesco Masasi, imekuja gari ya Tanesco imezunguka ikaondoka mpaka muda huu saa 1 usiku hakuna dalili ya marekebisho tatizo nini mbona siku hizi munakua jeuri sana munataka watu wafe ndo muone kuna tatizo?
Wewe jamaa utakua BOT si bure. Inabidi JF wakuchunguze kama kweli wewe ni binadamu.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja