TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Shule hii ni Tangu 2011 mpaka leo hata nguzo wala mchoro maswali mengine tuma ofisi ya Tanesco chalinze kwa uwongozi wa shule watakupa data zote.

Mm ni raia mwema ninaye athirika na tatizo hili kwa watoto wetu wanaosoma shule hii ya moreto secondary Lugoba chalinze
 
Shule hii ni Tangu 2011 mpaka leo hata nguzo wala mchoro maswali mengine tuma ofisi ya Tanesco chalinze kwa uwongozi wa shule watakupa data zote
Mm ni raia mwema ninaye athirika na tatizo hili kwa watoto wetu wanaosoma shule hii ya moreto secondary Lugoba chalinze
Tunawashauri kufikisja maombi ya umeme ofisi zetu ili.kwendana na taratibu zetu
 
TANESCO
Nipo kibaha eneo la Picha ya ndege kata ya Sofu, kuna tangazo nimeliona online lina husiana na upimaji ndaninya kibaha na eneo la picha ya ndege ni moja wapo ya eneo lengwa sasa ningependa kufahamu huo upimaji ndio ile huduma ya kutembelewa na surveyor kwa wateja wapya walio omba huduma ya umeme ? Au Ni upimaji upi huonunao maanishwa
 
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Viongozi ivi huwa mnansoma mtu kaandika nini au wenzetu huwa mnajibu tu ilimradi
 
Sio sahihi kujibu bila taarifa hilo litakuwa jibu la kubahatisha ndio maana unashauriwa kutoa taarifa kamili
Naomba mnisaidie nambanya Tanesco mkoa wa Pwani maana hii mlizo weka humu hazipatikani kabisaaaa
 
Naomba mnisaidie nambanya Tanesco mkoa wa Pwani maana hii mlizo weka humu hazipatikani kabisaaaa
Tafadhali pokea namba za Mkoa wa Pwani
Screenshot_20211012-131742_WhatsApp.jpg
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.

Toka lini September 13

Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
 
Hili limenishangaza sana tuna kiwanda cha Tofali ambapo tumewekeza kwenye uwanja wa wazi na tumejenga Banda la miti na kuunganishiwa umeme sasa inakuaje tunakatwa kodi ya Jengo?
 
Hili limenishangaza sana tuna kiwanda cha Tofali ambapo tumewekeza kwenye uwanja wa wazi na tumejenga Banda la miti na kuunganishiwa umeme sasa inakuaje tunakatwa kodi ya Jengo?
Halipaswi kukushangaza bali unapaswa kuchukua hatua za kutoa taarifa TRA watafika kuhakiki na kuelekeza TANESCO nini cha kufanya.
 
Naomba msaada namna ya kupata kumbukumbu ya miamala angalau miwili iliyopita kwa maana ya tokeni! au inapotokea kwa bahati mbaya umefuta ujumbe wenye tokeni hizo
 
Ushauri wa bure kwa management mpya Tannesco. Sasa hivi kuna demand au wateja wengi sana wameomba kuweka umeme kwa sababu ya bei kishushwa ya kuweka umeme.

Ningeshauri Tannesco wangekuwa na utaratibu wa kubandika kwenye ofisi zao watu walioomba kuwekewa umeme na tarehe watakazo wawekea. Ili mtu akifika a aangalie kwa matangazo hasumbuki hata kuuliza maswalj na wakati mwingine kuhisi siwekewi kwa sababu wanataka rushwa.

Mimi kesi yangu nikifika hapo Tannesco kila siku unaambiwa jumatatu tunaanza wateja sijui wa mwezi wa saba ,zimeshapita jumatatu kama nne hivi. Funga kazi juzi nikapiga huduma kwa wateja wakasema baba unajua waliomba umeme kuanzi mwezi wa saba tarehe 1 ni watu 600.

Duu niliachwa hoi kwa hizo kamba za wateja 600. Jamani Tannesco Mbezi Beach muwe wakweli basi. Kaka Maharage wewe jirani yangu hapa Makongo tafadhali nyoshaaa hiyo tannesco.

Mimi nasubiri wateja 600 wishes niwekewe umeme jamani.
 
Ushauri wa bure kwa management mpya Tannesco.Sasa hivi kuna demand au wateja wengi sana wameomba kuweka umeme kwa sababu ya bei kishushwa ya kuweka umeme.Ningeshauri Tannesco wangekuwa na utaratibu wa kubandika kwenye ofisi zao watu walioomba kuwekewa umeme na tarehe watakazo wawekea.Ili mtu akifika a aangalie kwa matangazo hasumbuki hata kuuliza maswalj na wakati mwingine kuhisi siwekewi kwa sababu wanataka rushwa. Mimi kesi yangu nikifika hapo Tannesco kila siku unaambiwa jumatatu tunaanza wateja sijui wa mwezi wa saba ,zimeshapita jumatatu kama nne hivi.Funga kazi juzi nikapiga huduma kwa wateja wakasema baba unajua waliomba umeme kuanzi mwezi wa saba tarehe 1 ni watu 600.Duu niliachwa hoi kwa hizo kamba za wateja 600.Jamani Tannesco Mbezi Beach muwe wakweli basi.Kaka Maharage wewe jirani yangu hapa Makongo tafadhali nyoshaaa hiyo tannesco .Mimi nasubiri wateja 600 wishes niwekewe umeme jamani.
Ahsante mwa ushauri je umelipia umeme kwa jina gani? Namba ya simu na tarehe ya malipo
 
Ushauri mzuri kabisa kwa tanesco, inabid wabandike orodha ya wateja walioomba umeme kuondoa mazingira ya rushwa. Mi nimeomba umeme tangu mwezi wa tano mpaka Leo majibu niliyopewa Ni kuwa niendelee kusubili haijulikan mpaka lini, kila nikiulizia humu wananiomba taarifa zangu za kuomba umeme nimewapa tanesco ila mpaka Leo kimya
 
Ahsante mwa ushauri je umelipia umeme kwa jina gani? Namba ya simu na tarehe ya malipo
Nasubiri hao 600 wateja wamalizike. Mkijisikia kuniwekea sawa msipojisikia sawa. Jina sitoi wala nini.

Nitakuja kuwaandikia mrejesho mkishaweka. Kuanzia tarehe niliyoomba, mauza uza niliyopitia na ushauri zaidi. Sasa wewe unataka nitoe jina ili nini. Fanyeni kazi yenu kwanza.

Kama nimeomba mwezi wa saba hapo mbezi Beach halafu sijawekewa umeme nikiandika hapa inasaidia nini.
 
Kiukweli tanesco wilaya ya mkuranga mnaboa Sana nipo vikindu kamegele kwaninj hamtuleteee umeme huku siku hizi nyumba za kutoshaa sijui mbafeli wapi miyeyusho Sana nyie
 
Back
Top Bottom