Asante kwa taarifa, tafadhali lipia tukufungie umeme
Bado kimya sijafungiwa umeme hadi leo
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
 
Gharama ya kuweka umeme kwenye nyumba kwa umbali wa nguzo 4, ni shillingi ngapi?
Gharama ni shilingi 27000 kwa njia moja ndani ya mita 120, ikizidi hapo mteja anashauriwa kusubiri tusogeze miundombinu ya umeme
 
Bado kimya sijafungiwa umeme hadi leo
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
Tafadhali onyesha wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Kuna maswali humu ukiweza yajibu kwa faida ya Watanzania.


Asante kwa taarifa
 
mimi sijapata control number bado jina MSAFIRI MGOHA
NAMBA YA SIMU 0625522261
WILAYA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO NAOMBA NIPATIWE CONTROL NUMBER NILIPIE UMEME SURVEYOR ALIFIKA WIKI INAENDA YA NNE HII SIJAPATA CONTROL NUMBER
NAOMBA MNITUMIE BHANA JAMANI NISHACHOKA KUNUNUA BETRI
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
 
Ahsanteni sana kwa kusogea karibu na wateja. Je kuna uhalali gani wa waya za umeme kukatiza kwenye plot ya mtu kwenda mtaa wa nyuma wakati mtaa wa nyuma una service lines na nguzo za kutosha. Hii imekaaje kiusalama?
 
@TANESCO sijapata mrejesho wa hili jambo mpaka sasa. Msaada tafadhali
 
Kuna kitu kinanishangaza hapa, idadi kubwa ya wateja surveyor amefika ila wanazungushwa kupewa control no.
Ukiripot hapa na kutoa taarifa sahihi ndani ya siku tatu tu unapigiwa simu ukachukue control no n kuombwa radhi kwa kucheleweshewa.

Wito wangu kwa tanesco, hii inaonyesha wazi kuwa huko branch kuna shida na kuna mazingira ya rushwa na uzembe.

Ni wakati sasa wa TANESCO makao makuu kufanya ufuatiliaji wa hawa ma surveyors na kuweka mitego ili wale wasio waadilifu wanaoharibu taswira njema ya TANESCO waondolewe.
Binafsi nilikaa miezi mitatu bila control no ila baada ya kuripot hapa kesho yake tu nikapata.

Majuzi wamenambia kuwa kabla mwezi huu haujaisha nitakua nimefungiwa umeme ndo nawasubiri
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
TANESCO na sikukuu hii ya Maulid mmeona ndio wakati sahihi wa kuudhi watu. Mlikata umeme Kimara Suka,Bonyokwa mida ya asubuhi hadi saa sita mkarudisha kule na kukata huku Kimara mwisho.

Hivi nyinyi watu mfanywe nini lakini?!
 
TANESCO na sikukuu hii ya Maulid mmeona ndio wakati sahihi wa kuudhi watu.
Mlikata umeme Kimara Suka,Bonyokwa mida ya asubuhi hadi saa sita mkarudisha kule na kukata huku Kimara mwisho.
Hivi nyinyi watu mfanywe nini lakini?!
Wateja wetu taarifa tumezipokea tunazifanyia kazi, tunaomba radhi sana kwa usumbufu unaojitokeza
 
Wateja wetu taarifa tumezipokea tunazifanyia kazi, tunaomba radhi sana kwa usumbufu unaojitokeza
This is costly to us.

Leo holiday huku nje ya mji ndio biashara zinachangamka sababu watu hawajaenda town unashangaa umeme huoo unakatika!

Pitia mitandao ya kijamii mpaka twitter huko miji mikubwa yote ya Tz sasa hivi watu wanalalama tatizo la umeme kukatika linazidi kuongezeka.
Kuna nini?!

Mimi naomba mnirudishie umeme wangu hapa Kimara mwisho niendelee na biashara zangu msinitafute ubaya nawaambieni.
Nimemaliza.
 
Gharama ni shilingi 27000 kwa njia moja ndani ya mita 120, ikizidi hapo mteja anashauriwa kusubiri tusogeze miundombinu ya umeme
Ahsante.
Naomba niulize swali jingine;
Ninatumia umeme wa njia moja.( Nimeunganishiwa), ninataka niweke machine ya kusaga umeme wa three phase, umeme wa three phase upon umbali wa nguzo 5. Taratibu zikoje au itanigharimu kiasi gani?
Je g
 
TANESCO nashukuru Mungu kwa kuwasaidieni kurudisha umeme huu ili riziki yangu ya leo isipotee.
Nashukuru kwa kurudisha umeme hapa Kimara mwisho.
Mungu awabariki kwenye kazi yenu.
Nawaombea sana.
Nalog off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…