@TANESCO CIU YANGU haikubali kuangalia kiasi Cha umeme nlichobakizaTafadhali tambua taratibu za kuomba umeme ni zile zile kama ifuatavyo
1. Hakikisha miundombinu ya umeme imekufikia
2.Kamisha wiring ( mtandao wa nyaya kwenye sehemu husika)
3.Chukua form ya maombi ya awali
4.jaza sehemu zako mpe na mkandarasi wako ajaze na kuweka mchono na muhuri
5.Rudisha form TANESCO
6.Wataalamu wetu watafika kupima eneo husika kujua utahitaji nini kufungiwa umeme
7.Utapatiwa gharama halisu ya makadirio ambayo itaambana na control number
I.Utalipia na kusubiri kufungiwa
Zingatia.
Kwa wateja waliopo nje ya mita 120 wanapaswa kusumbiri miundombinu ya umeme isogezwe ili waweze kulipia bei halisi.
37207033004Tafadhali onesha namba ya mita
PATA ELIMU KUTOKA TANESCO37207033004
Asante nmefanikiwa kutatua [emoji817]PATA ELIMU KUTOKA TANESCO
HII NI KWA WALE WENYE MITA ZINAZOAANZA NA NAMBA 3720.....
JINSI YA KUTATUA UJUMBE WA CONNECT UNAPOINGIZA UMEME
Ikitokea unaingiza umeme Token kwenye mita yako inayoanza na namba 3720.... na ukapata ujumbe wa *Connect
Tafadhali fata taratibu zifuatazo kutatua tatizo[emoji116][emoji116]
Nini maana ya Connect?
Mita yako inakuwa haina mawasiliano na remoti ya kuingizia umeme ( CIU)
Kutatua tatizo fanya yafuatayo[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji871] Nunua Betri mpya weka kwenye remoti yako
[emoji871] Ukiwa hapo hapo nyumbani kwako chomeka rimoti ya kuinguzia umeme kwenye swichi ya ukutani kisha iwashe na kuingiza umeme
[emoji871] Kama tatizo litaendelea bonyeza namba zifuatazo kwenye rimoti yako 59698686 zikifatiwa na namba yako ya mita kisha bonyeza ok ndio uingize umeme wako
Mfano[emoji116][emoji116]
59698686namba ya mita ok
5969868637201234561Ok
[emoji871] Mara baada ya kufanya hivyo na tatizo la kuandika connect bado likaendelea tafadhali toa taarifa kwenye vituo vyetu vya huduma kwa wateja (madawati ya dharura) au kupitia mitandao yetu rasmi ya kijamii kwa huduma zaidi huku ukionyesha namba ya mita na ujumbe unaoupata
TANESCO , Tunayaangaza Maisha Yako
Tafadhali onesha namba ya simu kwa urahisi wa kukuhudumiamimi bado hamjayaangaza maisha yangu naomba kujua imeshindikana kupewa control number au shida ni nini sijaona feedback yoyote
MSAFIRI MGOHA
WILAYA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO CONTROL NUMBER SURVEYOR ALIFIKA WIKI YA NNE HII INAKATA SIJAPATA CONTROL NUMBER AU HAMTAKI KODI NANI ANAKWAMISHA JUHUDI ZA MAMA NYIE PEOPLE
ENE
Bado kimya tokea nimewapa hii taarifa ya malipoTunayaangaza maisha yako, endelea kufurahia huduma zetu
Tafadhali weka namba ya simu na wilaya husika kwa wepesi wa kuhudumiwaBado kimya tokea nimewapa hii taarifa ya malipo
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
Kwa mara nyingineTafadhali weka namba ya simu na wilaya husika kwa wepesi wa kuhudumiwa
Ntashukuru maana ni muda mrefu tokea mwezi wa nneImepokelewa tafadhali tunaifanyia kazi
Taarifa hii ilipokelewa jana siku ya mapumziko na ipo mikono salama inaganyiwa kazi, tunaomba uvumilivu wakoNA MIMI NARUDIA
MSAFIRI MGOHA
0625522261
WILAYA YA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO SIJAPATIWA CONTROL NUMBER MWEZI UNAISHA HUU NA SURVEYOR ALIKUJA KARIBU WIKI YA NNE INAISHA HII
Mkuu habari,tumejulishwa kuwa uneshapatuwa control numberNA MIMI NARUDIA
MSAFIRI MGOHA
0625522261
WILAYA YA SUMBAWANGA VIJIJINI
ENEO LAELA
TATIZO SIJAPATIWA CONTROL NUMBER MWEZI UNAISHA HUU NA SURVEYOR ALIKUJA KARIBU WIKI YA NNE INAISHA HII
Habari afisa.Asante kwa taarifa, tafadhali lipia tukufungie umeme
Umelipoa tarehe 18 Oct 2021 hivyo bado upo kwenye orodha waliokutangalia kufungiwa wakifungiwa na wewe utapata hudumaHabari afisa.
Nimeshalipia ila bado.sijapata mrejesho wa chochote.
Ref:
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032974693
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921291074519885
2021-10-18T16:49:56
Kupitia: EC101083820055IP
Tafadhali nsomba huduma.
Asante, naendelea kuridhika kiroho safi kwa 40% . Barikiwa.Umelipoa tarehe 18 Oct 2021 hivyo bado upo kwenye orodha waliokutangalia kufungiwa wakifungiwa na wewe utapata huduma