TANESCO MKOA WA LINDI KUKATIKA KWA UMEME KIJIJI CHA KILANJELANJE KUTAISHA LINI MAANA MNAKATA MNAVYOJISIKIA LEO SIKU YA PILI HATUNA UMEME HAPA MAMA KABADILISHA UONGOZI TUKAJUA MTAJIREKWBISHA NAONA MAZOEA YEAMEGEUKA KUWA TABIA IMEKUWA NI KAWAIDA KUKOSQ UMEME HAPA SIKU MBILI TATU
 
MUHESHIMIWA MAKAMBA PAMOJA NA KUVUNJA BODI NA KUWEKA BODI MPYA BADO UTENDAJI WA TANESCO NI KIZUNGU MKUTI,TANESCO MKOA WA LINDI SUALA LA KUKATA UMEME KIJIJI CHA KILANJELANJE NI LA KAWAIDA NA TUMESHAZOEA HAKUNA SIKU UMEME UMEWAKA 24HRS BILA KUKATIKA SIJUI TATIZO NINI HAPA LEO UMEME TANGU JANA ASUBUHI HATUNA MPAKA SASA UMEME UNAWEZAJE KATWA 24HRS BILA TAARIFA NA WATU WAKO OFISINI WANAONA NI JAMBO LA KAWAIDA?
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Polen Sana mkuu hii ndio Tanzania ya SAMIA wanasema

Anyway karibu chai hapa juu kwa diwani na baadae naekekea MANADAWA vp MWL GAUDENCE hapo sekondari bado yupo


... Karibu tuchimbe gypsum hapa makangaga mkuu....
 
bila shaka mameneja wa tanesco Lindi plus meneja wa somanga power plant wamekusikia/ kukusoma.
 
@TANESCO nashukuru hili tatizo langu limefanyiwa kazi hii saa 12 jioni.

Keep up the good work! Ahsante sana
 
Kwa nini mmekata umeme Mkuyuni mwanza jamani? Mcahan mlikata na usiku huu tena sasa tatizo ni nini? Mbona tuna haribiana siku hivyo? Rudisheni tafadhali nawaomba
 
Shirika lina wa endeshaji wazembe kwel kweli
Kwa mfano nimetoa ripoti ya mwizi wa umeme/muhujumu uchumi lakini hawa watu hawana hata ushirikiano nadhani kwa sasa ni kama miaka 3 lakini mwizi anajinafasi zaidi hata miaka isiyo pungua misaba (7), mwisho wa siku utasikio oooh shirika linaendeshwa kwa hasara, nonsense kabisa . Kuna vitu vina kera hapa bongo[emoji34]
 
Subiri kuulizwa, jina, namba ya siku na wilaya/mkoa
 
Hivi TANESCO inachukua miezi mingapi kutumiwa control number ili kulipia? Mbona leo kesho imekuwa too much?? Tatizo ni nini?

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi TANESCO inachukua miezi mingapi kutumiwa control number ili kulipia? Mbona leo kesho imekuwa too much?? Tatizo ni nini?

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Ndugu mteja,
Kama tayari umeshafanyiwa survey na zimepita siku 7 ujapata control number tunaomba kupata taarifa zako sahihi ulizotumia kuomba umeme ikiwemo
Jina kamili
Namba ya simu
Eneo lako
Wilaya
Mkoa
 
TANESCO, nisaidieni toka nimelipia niliambiwa nisubiri ndani ya siku 30 nitakuwa nimeunganishiwa lakini mpaka leo sijui tatizo ni nini?
Selina nikolaus
0744919713
Sumbawanga mjini
Eneo Majengo
Rukwa
Fomu yenu inaonyesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…