KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ife tu sasa.Tatizo hii sekta ina fursa nyingi usishangae tukazoeshwa kukatika umeme baadae ikawa fursa ya kuuza majenereta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ife tu sasa.Tatizo hii sekta ina fursa nyingi usishangae tukazoeshwa kukatika umeme baadae ikawa fursa ya kuuza majenereta
Kwa namna hii yatawashinda sometimes ni aibu aisee waafrika shida shida shida tupu!kunaissue ya kurelax kwani serikali imesema haitwaingilia Tanesco sasa ndo hapo..zamani waliogopa kutbuliwa
Umeme hauna tatizo lolote bali ni mpamgo mkakati wa kutaka watu waamini kuwa tuna uhaba wa umeme ili majenerata ya JK yarudi waanze kupiga hela. Ndo maana Samia alilazimishwa amweke JanuaryBaada ya kuapishwa tu akasema hataki kusikia umeme kukatwakatwa! Sasa sijui hajui ya kuwa umeme unakatwakatwa hovyoo!.
Au mtazua propaganda mnafanyiwa figisu na sukuma gang..!! Badiliko nililoona ni Sahivi umeme umekuwa na matatizo zaidi kuliko matengemao.
Na ujumbe uumfikie.
Ya kweli haya..?Umeme hauna tatizo lolote bali ni mpamgo mkakati wa kutaka watu waamini kuwa tuna uhaba wa umeme ili majenerata ya JK yarudi waanze kupiga hela. Ndo maana Samia alilazimishwa amweke January
Wewe unadhani Seth kuwekwa ndani na JPM si ilikuwa ni vita ya kutaka hela ya ESCROW irudi serikalini? Sasa kuachiwa kwa Sethi unajua maana yake ni nini?Ya kweli haya..?
🙄 Tiririka ndugu wengine haya Mambo hatujui huwa tumeweka kambi jukwaa la mapenzi kule..😅Wewe unadhani Seth kuwekwa ndani na JPM si ilikuwa ni vita ya kutaka hela ya ESCROW irudi serikalini? Sasa kuachiwa kwa Sethi unajua maana yake ni nini?
Kifo cha JPM kiliuma si kwa sababu nyingine bali aliwapiga stop hawa mafisadi na kama bwawa lingemalizika wakati wake na bei ya umeme ingalikuwa chini.🙄 Tiririka ndugu wengine haya Mambo hatujui huwa tumeweka kambi jukwaa la mapenzi kule..😅
🤣🤣 Watu mshakata tamaa!Wamemteua Uwaziri Makamba mzee wa kujisifia mitandaoni unategemea nini....Nchi ipo kuliwa saizi.
Ohooo! Naomba tusifike huko aiseeKifo cha JPM kiliuma si kwa sababu nyingine bali aliwapiga stop hawa mafisadi na kama bwawa lingemalizika wakati wake na bei ya umeme ingalikuwa chini. Kwa sasa akina January watahakikisha wanaweka cha juu na bei ya umeme haitaenda chini. Sisemi bwawa halitaisha ila gharama ya kulimalizia zitakuwa za juu kutokana na ufisadi itakayopelekea unit moja ya umeme kuwa juu. Poleni Watanzania na bado,
Mkuu sidhani Kama umeelewa mada!Tatizo la umeme Tanzania lipo kabla ya uhuru acheni lawama zisizo na kichwa Wala miguu kwa mama Samia
Tatizo kubwa kwa sasa ni kuwa na upinzani wa kipuuzi. Waninafsi kama akina na Tundu Lissu au majizi yaliyookoka kama akina Lema etc. Kwa sasa ndipo tunahitaji Credible upinzani ili utusaidie. Ona watu kama Zitto wapo kuzungumzia JPM ambaye ashayoyoma!🤣🤣 Watu mshakata tamaa!
Ohooo! Naomba tusifike huko aisee
Mkuu sidhani Kama umeelewa mada!
🤣🤣 Mkuu mpk umeleta akina member wengine hii Vita yenu mi naishia hapa. Hili lako sasa. Maana tumefika Hadi kwenye katiba sijui Nini..Tatizo kubwa kwa sasa ni kuwa na upinzani wa kipuuzi. Waninafsi kama akina na Tundu Lissu au majizi yaliyookoka kama akina Lema etc. Kwa sasa ndipo tunahitaji...
"Kumekuwa na neglect ya maintenance ya mfumo wa ugavi kwa kitambo. Mwaka jana tu shilingi bilioni 20 zilizopaswa kutumika kwa matengenezo hazikutumika. Matokeo ndio haya.Baada ya kuapishwa tu akasema hataki kusikia umeme kukatwakatwa! Sasa sijui hajui ya kuwa umeme unakatwakatwa hovyoo!...
Ohoo"Kumekuwa na neglect ya maintenance ya mfumo wa ugavi kwa kitambo. Mwaka jana tu shilingi bilioni 20 zilizopaswa kutumika kwa matengenezo hazikutumika. Matokeo ndio haya. TANESCO sasa wanasitisha miradi yote ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya ugavi" - January Makamba
"Kumekuwa na neglect ya maintenance ya mfumo wa ugavi kwa kitambo. Mwaka jana tu shilingi bilioni 20 zilizopaswa kutumika kwa matengenezo hazikutumika. Matokeo ndio haya. TANESCO sasa wanasitisha miradi yote ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya ugavi" - January Makamba