Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujaza fomu sio ishu.... Mimi fomu inamiezi 6 ,ishu ni kupata hiyo control numberMbona mimi nimejaza form toka tar 5 September mpaka leo hata control namba sijapata kwa ajili ya kulipia na nipo ya mita 30. Kuna nini hapa
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco wilaya Muleba mkoa Kagera wanasumbua sana kutoa huduma mpaka wqkuzungushe
Naendelea kuwa mvumilivu hadi roho inaniumaMalipo yako yamepokelewa tarehe 9/09/2021 yapo kwenye orodha ya wateja watakaofungiwa umeme tunaomba uvumilivu wako
Tutakufikia mkuu wetu bado tunamaombi mengi ambayo yanafanyiwa kaziNaendelea kuwa mvumilivu hadi roho inaniuma
Hadi leo hii bado sijafungiwa na wala sioni kama kuna utaratibu wowote
Salumu issa
Simu no 0713552943
Ilala chanika kimwani street
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
PAKUA GePG APP UFURAHIE HUDUMA ZA TANESCOMkuu TANESCO
Naomba msaada,nimenunua umeme kwa njia ya tigopesa sijapata sms ya token
Kumbukumbu ya malipo:37135334748. Muamala: 65170713880.
KUKUMBUSHIA KATIZO LA UMEME KWA SIKU YA KESHO TAREHE 26/10/2021Kinondoni Biafra umeme umekatika tokea asubuhi kuja shida gani? TANESCO
Sawa. Ingekua vizuri zaidi taarifa kama hiyo mkiipost kwenye account zenu za mitandao ya kijamii ili watu wajiandae TANESCOKUKUMBUSHIA KATIZO LA UMEME KWA SIKU YA KESHO TAREHE 26/10/2021
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANZANIA)
22/10/2021
KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Kinondoni Kaskazini linawataarifu kuwa kutakuwa na katizo la umeme katika laini ya
OYSTERBAY 4 (O4) kama ifuatavyo;
Siku Jumanne Tarehe 26-10-2021
Muda Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni.
Sababu Kufanya matengenezo kwenye laini pamoja na kubadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Maeneo yote ya Kinondoni, Barabara za Tunisia na Kilimani, Ofisi za Osha, Kinondoni Mahakamani pamoja na maeneo ya jirani.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tahadhari
Usikanyage wala kugusa waya uliokatika au kulala chini.
Wasiliana nasi kwa simu na.zifuatazo: Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini
0784768584/0716768584
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz,
Mitandao ya kijamii
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA- KINONDONI KASKAZINI
Nimelipia leo48614300344570432446 Umeme wa Mwisho kununua wa Tsh 1500
Bado manunuzi ya leo hayajafanikiwa tunaomba tufatilie mkuu wetu.Nimelipia leo
Umelipa TSh 4,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:37135334748. Muamala: 65170713880. Jumla ya Makato TSh 80. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 12. 26/10/21 12:40.
Sent using Jamii Forums mobile app