Jina Japhet Edward HamaroTafadhali tutumie taarifa zako tena eneo, wilaya na form umerudisha lini na namba ya simu
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO Kibaha kuna nini?tangu jana umeme hamna kuanzia maili moja mpaka kongowe,nini shida?
InafungukaPicha hazifunguki au ni simu yangu tu...?
Ndugu Mpendwa mteja wetuHii kitu ni karibu mwaka wa tatu huu hawa tanesco wilayani same hawachukui hatua yeyoteView attachment 1988580
View attachment 1988586
Ndugu mpendwa Mteja wetuMimi nimelipia service line tangu mwezi wa 7 mpaka leo sijafungiwa umeme na sehemu haitajii nguzo ni mita na waya kama mita 7 tu
Ndugu mpendwa Mteja wetuEbu kuweni seriously na kazi yaani mpaka nitoe rushwa ndio nifungiwe kweli?
Hii ikoNdugu Mpendwa mteja wetu
Tafdhali tujulishe
Eneo
Simu
Wilaya
Tatizo
Namba ya taarifa
Toka lini
Unaweza kutuma hata DM na sisi tunakuahidi kuifanyia kazi
Hii nimetoa taarifa tu maana ni mtaani kwetu wametelekeza hizi nyaya hapa na nyumba yenyewe ilishavunjwa wamebakiza hako kaukuta tu na nimuda mrefu sasa.Kamilisha taarifa mkuu wetu tafadhali