TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari yenu Tanesco,

Dar, tabata kisukuru yote haina umeme kuanzia saa 1 asubuhi hadi mda huu na hakuna taarifa yoyote. Ni nini kinaendelea
 
Poleni kwa changamoto ndugu wateja taarifa yenu tumeipokea mafundi wetu wanaifanyia kazi huduma itarejea mapema iwezekanavyo.
 
Mgao ndio ushaanza? Tangu asubuhi umeme hakuna, namba ta Tanesco ipo busy
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Naomba kuuliza
Nina machine ya kuingizia Token number unasumbua Baadhi ya Namba kuingia je naweza kupata Mashine Mpya badala ya hiyo? Je Utaratibu wa kupata Upoje?
 
Unashauriwa kutoa taarifa ofisi za eneo lako,utapatiwa namba ya taarifa, wataalamu wetu watafika kuiangalia na kuifanyia kazi au kuonadilisha
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
JINA: BAKARI ABDALLAH BAKARI.
ENEO: SOMBETINI /GREEN VALLEY.
SIMU: 0784485861/0655485861.
TATIZO: KUFUNGIWA UMEME.
TAREHE NILIYOLIPA: 1/7/2021.
CONTROL NUMBER: 991032655378.
Bill NUMBER : 1274.
BILL PAID: 27,000/=
 
Nilikwishafika Tanesco kigamboni na watalaam walifika nyimbani na kuniambia natakiwa nipatiwe nyingine ndio nauliza Utaratibu wa kupata nyingine ni UPI au kuna Gharama na ni kiasi gani?
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.

Toka lini September 13 na form nilirudisha siku hiyo hiyo
Nashurukuru baada ya kuleta malalamiko hapa yamefanyiwa kazi na surveyor amefika, nitaendelea kuleta malalamiko hapa pale nitakapoona sipatiwi suluhisho kwa muda.
 
Tangu jumamosi wiki iliyopita mpaka sasa umeme hakuna hapa eneo la kikwalaza, Mikumi, Morogoro.Tatizo nini?
 
JINA: BAKARI ABDALLAH BAKARI.
ENEO: SOMBETINI /GREEN VALLEY.
SIMU: 0784485861/0655485861.
TATIZO: KUFUNGIWA UMEME.
TAREHE NILIYOLIPA: 1/7/2021.
CONTROL NUMBER: 991032655378.
Bill NUMBER : 1274.
BILL PAID: 27,000/=
Tunashukuru kwa taarifa, tumefanikiwa kuona taarifa zako tunaomba tuzifatilie kwa hatua zaidi
 
Tangu jumamosi wiki iliyopita mpaka sasa umeme hakuna hapa eneo la kikwalaza, Mikumi, Morogoro.Tatizo nini?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Nashurukuru baada ya kuleta malalamiko hapa yamefanyiwa kazi na surveyor amefika, nitaendelea kuleta malalamiko hapa pale nitakapoona sipatiwi suluhisho kwa muda.
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu, endelea kufurahia huduma zetu
 
Nilikwishafika Tanesco kigamboni na watalaam walifika nyimbani na kuniambia natakiwa nipatiwe nyingine ndio nauliza Utaratibu wa kupata nyingine ni UPI au kuna Gharama na ni kiasi gani?
Tafadhali tupatie namba ya taarifa au namba ya simu uliyotolea taarifa tuone kazi yako
 
Hii kitu ni karibu mwaka wa tatu huu hawa tanesco wilayani same hawachukui hatua yeyoteView attachment 1988580

View attachment 1988586
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Tanesco naombeni kujua utaratibu wa kupata mita yangu binafsi katika nyumba ya kupanga,maana ninaishi kwenye nyumba ina frame nyingi mita moja,kwa kwel umeme unakimbia sana na matumizi yangu ni redio na tv tu tena mara moja moja sana maana sishindi nyumbani ila bili nalipa kubwa kwa mwez sio chini ya 30 elf.
 
Hii mpaka ufanye maombi tufike kujitidhisha kama vigezo na masharti vimetimia, hata hivyo sio rahisi kufunga mita zaidi ya moja kwenye nyumba moja hivyo unashauriwa kufungia vifaa maalumu vya kusoma.matumizi ya kila sehemu kwenye eneo lako ambavyo vinafungwa na fundi wako wa umeme aliyesajiliwa
 
Nmenunua umeme wa Elfu 11,mmenipatia Unit 79 lakini nikiangalia salio nakuta Unit 13
 
Back
Top Bottom