Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moderator hii sio sawa mm nilitengeneza UZI wa hii kero ila ajabu nyie mme ileta hukunkama comment.. sasa Mhe January Makamba hatoweza kuisoma lengo langu mie imfikie waziri au naibu waziri Byabato. Na sio Tanesco ...hawa Tanesco ni sikio la kufa huwa hawasikii dawaNdugu Mhe. Makamba (W)
Nawasilisha malalamiko ya utendaji wa mashaka wa chombo hiki kilicho chini ya mamlaka yako, wanqnchi tunateseka tunahitaji umeme lkn chombo hiki utendaji wake ni wa kusua sua
Mtu anawasilisha maombi ya umeme lkn inachukua karibu Mwezi mzima Surveyor kufika ktk site ya muombaji , ukiuliza wana kwambia tuna shughulikia ...hii lugha ya tuna shughulikia imezidi sana. Hapo bado kuna. Kusubiria kuletewa umemw mwenyewe sasa ambapo napo ni mtihani mkubwa mnooo.
Ndugu mpendwa Mteja wetuMimi nimelipia tar 3/9/2021 mpaka leo tar 2/11/2021ni miezi miwili net na kwangu panahitaji nguzo moja sijafungiwa umeme. Nilipata namba ya meneja nikampigia juzi amenambia kuwa kwa sasa foleni ilikua kubwa ndio wameanza kuhudumi wateja waliolipia mwezi wa nane niendelee kusubiri watanifikia.
Sina jinsi zaidi ya kusubiri tu maana ishakua ndoa ya kikristo hina kuachana
@TANESCO naomba nitoe shukrani zangu za dhati maana leo nimepata umeme rasmi sehemu husika.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Karibu sana mpendwa mteja wetu@TANESCO naomba nitoe shukrani zangu za dhati maana leo nimepata umeme rasmi sehemu husika.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Salum issaKaribu sana mpendwa mteja wetu
Ndugu mteja,Salum issa
0713552943
Ilala chanika
Kimwani street
Mwezi wa pili umeisha na siku kadhaa bado sijafungiwa umeme
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
Hivi tanesco mnakwama wapi hasa? Leo ndio mnaanza kuwafungia waliolipa mwezi wa 8? Mtu anapeleka maombi surveyor anakuja baada ya mwezi au miezi miwili tena baada ya mteja kulalamika sana, kupewa control namba hivyo hivyo ni miezi tena kuja kulipia unakaa tena hata miezi mitatu ndio unafungiwa, jumla sio chini ya miezi 6 ndio unaunganishwa umeme hivi tutafika kweli?Mimi nimelipia tar 3/9/2021 mpaka leo tar 2/11/2021ni miezi miwili net na kwangu panahitaji nguzo moja sijafungiwa umeme. Nilipata namba ya meneja nikampigia juzi amenambia kuwa kwa sasa foleni ilikua kubwa ndio wameanza kuhudumi wateja waliolipia mwezi wa nane niendelee kusubiri watanifikia.
Sina jinsi zaidi ya kusubiri tu maana ishakua ndoa ya kikristo hina kuachana
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi tanesco mnakwama wapi hasa? Leo ndio mnaanza kuwafungia waliolipa mwezi wa 8? Mtu anapeleka maombi surveyor anakuja baada ya mwezi au miezi miwili tena baada ya mteja kulalamika sana, kupewa control namba hivyo hivyo ni miezi tena kuja kulipia unakaa tena hata miezi mitatu ndio unafungiwa, jumla sio chini ya miezi 6 ndio unaunganishwa umeme hivi tutafika kweli?
Tafadhali toa taarifa police upatiwa police loss report kisha fika nayo ofisi za eneo lako huku ukiwa na barua ya kuelezea mazingira ya kupotea kwenda kwa manager wa eneo lako, taratibu zitafatwa kisha utalipia na kupatiwa nyingineNimepoteza mashine ya kuingizia token,je kuna utaratibu gani wa kupata nyingine?@TANESCO
Mkuu nimekutumia PM, naomba msaada wakoTafadhali toa taarifa police upatiwa police loss report kisha fika nayo ofisi za eneo lako huku ukiwa na barua ya kuelezea mazingira ya kupotea kwenda kwa manager wa eneo lako, taratibu zitafatwa kisha utalipia na kupatiwa nyingine
Sawa mkuuTumeangalia hazifika, zikifika tutazifanyia kazi
Tunafanyia kazi tafadhaliJina Japhet Edward Hamaro
Wilaya ya kinondoni
Mtaa wa Mji mpya Mabwepande
Namba ya simu 0768 590175
Tatizo: Baada ya kuleta malalamiko hapa ya surveyor kutokufika alifika toka tarehe 26 October ila mpaka leo sijapata control namba naomba kujua ni lini nitapewa hiyo control namba? Maana nisipokuja kulalamika hapa sihudumiwi.