TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ndugu Mhe. Makamba (W)

Nawasilisha malalamiko ya utendaji wa mashaka wa chombo hiki kilicho chini ya mamlaka yako, wanqnchi tunateseka tunahitaji umeme lkn chombo hiki utendaji wake ni wa kusua sua

Mtu anawasilisha maombi ya umeme lkn inachukua karibu Mwezi mzima Surveyor kufika ktk site ya muombaji , ukiuliza wana kwambia tuna shughulikia ...hii lugha ya tuna shughulikia imezidi sana. Hapo bado kuna. Kusubiria kuletewa umemw mwenyewe sasa ambapo napo ni mtihani mkubwa mnooo.
Moderator hii sio sawa mm nilitengeneza UZI wa hii kero ila ajabu nyie mme ileta hukunkama comment.. sasa Mhe January Makamba hatoweza kuisoma lengo langu mie imfikie waziri au naibu waziri Byabato. Na sio Tanesco ...hawa Tanesco ni sikio la kufa huwa hawasikii dawa

Hivyo basi Moderator nikuombe uurejeshe huu UZI
 
Mimi nimelipia tar 3/9/2021 mpaka leo tar 2/11/2021ni miezi miwili net na kwangu panahitaji nguzo moja sijafungiwa umeme. Nilipata namba ya meneja nikampigia juzi amenambia kuwa kwa sasa foleni ilikua kubwa ndio wameanza kuhudumi wateja waliolipia mwezi wa nane niendelee kusubiri watanifikia.
Sina jinsi zaidi ya kusubiri tu maana ishakua ndoa ya kikristo hina kuachana
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
@TANESCO naomba nitoe shukrani zangu za dhati maana leo nimepata umeme rasmi sehemu husika.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Karibu sana mpendwa mteja wetu
Salum issa
0713552943
Ilala chanika
Kimwani street
Mwezi wa pili umeisha na siku kadhaa bado sijafungiwa umeme

Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
 
Ndugu mteja,
Tumepokea kwa hatua zaidi
 
Nimepoteza mashine ya kuingizia token,je kuna utaratibu gani wa kupata nyingine?@TANESCO
 
Mimi nimelipia tar 3/9/2021 mpaka leo tar 2/11/2021ni miezi miwili net na kwangu panahitaji nguzo moja sijafungiwa umeme. Nilipata namba ya meneja nikampigia juzi amenambia kuwa kwa sasa foleni ilikua kubwa ndio wameanza kuhudumi wateja waliolipia mwezi wa nane niendelee kusubiri watanifikia.
Sina jinsi zaidi ya kusubiri tu maana ishakua ndoa ya kikristo hina kuachana
Hivi tanesco mnakwama wapi hasa? Leo ndio mnaanza kuwafungia waliolipa mwezi wa 8? Mtu anapeleka maombi surveyor anakuja baada ya mwezi au miezi miwili tena baada ya mteja kulalamika sana, kupewa control namba hivyo hivyo ni miezi tena kuja kulipia unakaa tena hata miezi mitatu ndio unafungiwa, jumla sio chini ya miezi 6 ndio unaunganishwa umeme hivi tutafika kweli?
 
Hivi tanesco mnakwama wapi hasa? Leo ndio mnaanza kuwafungia waliolipa mwezi wa 8? Mtu anapeleka maombi surveyor anakuja baada ya mwezi au miezi miwili tena baada ya mteja kulalamika sana, kupewa control namba hivyo hivyo ni miezi tena kuja kulipia unakaa tena hata miezi mitatu ndio unafungiwa, jumla sio chini ya miezi 6 ndio unaunganishwa umeme hivi tutafika kweli?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Nimepoteza mashine ya kuingizia token,je kuna utaratibu gani wa kupata nyingine?@TANESCO
Tafadhali toa taarifa police upatiwa police loss report kisha fika nayo ofisi za eneo lako huku ukiwa na barua ya kuelezea mazingira ya kupotea kwenda kwa manager wa eneo lako, taratibu zitafatwa kisha utalipia na kupatiwa nyingine
 
Mkuu nimekutumia PM, naomba msaada wako

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujua Utaratibu wa kupata MASHINE MPYA YA KUINGIZIA TOKEN NUMBER
MASHINE niliyonayo inasumbua sana
 
Je umewahi kuotolea taarifa ofisi za eneo lako? Kama bado toa taarifa wataalu wetu waiangalie na kuchukua hatua stahiki
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Wilaya ya kinondoni

Mtaa wa Mji mpya Mabwepande

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo: Baada ya kuleta malalamiko hapa ya surveyor kutokufika alifika toka tarehe 26 October ila mpaka leo sijapata control namba naomba kujua ni lini nitapewa hiyo control namba? Maana nisipokuja kulalamika hapa sihudumiwi.
 
Tunafanyia kazi tafadhali
 
Back
Top Bottom