Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiJina: shule ya msingi kambarage
Eneo: kijiji cha mwinyi
Wilaya:urambo
Namba ya simu: 0622156966
Tatizo: nimewasilisha taarifa zote tanesco za kuwekewa umeme Ila mpaka Leo sijawahi waona wakija kupima hii taasisi ya serikali tatizo ni nini wakati nguzo ipo mpaka shuleni.
Toka lini: mwezi wa name mwanzoni.
Kwanini mnakata umeme sengerema kwa vipindi virefu? hata ninavyoandika umeme haupo shida nini tujuze maana hata hatuna taarifa.Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Ndugu mpendwa Mteja wetuKwanini hamtaki kutoa control number kwa wateja wanaohitaji umeme uwafikie kwa nguzo moja au zaidi pale Dodoma?. Mnasema bei elekezi ya 27,000 inawapa hasara kwanini msiiambie serikali badala ya kutesa wananchi wenye uhiyaji wa umeme?
Ndugu mpendwa Mteja wetuMkiweka nguzo inachukua muda gani mpaka muweke wire na kuunganisha?..naona kisarawe II nguzo zimewekwa tu..wakumbushe
Kisarawe II pembeni ya yard ya magari...wamechomeka nguzo tu bado wireNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tanesco tafadhali naomba mnijulishe namna yakupata ile remote yakuingizia umeme ya kwangu imepoteaTumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu, tunaomba uvumilivu tuifikie
Mbona ueleweki shida yako ni nini!kwanini shirika Linalotegemewa linakua limejaa watendaji wanasiasa wasiotaka kusema ukweli kama kuna tatizo badala yake wamekuwa wakipiga siasa hata kama wanajua fika kuna tatizo kubwa la Umeme Ifike wakati kama Shirika limeshindwa kuhudumia waruhusu mashirika mengine kama ilivo kwa mitandao ya simu.
Hii itaenda mpaka lini umeme, maji kuwa yanakatika katika muda wote tofauti na sasa Kukatika kila siku, mbona wakati wa Magu haya mambo yalipotea kabisa au ni mbinu za kutaka wauze majenereta waliyoingiza kwa wingi....
Huoni nimeandika unasema sieleweki we vipi nina shida na umeme sio unakatika katika hovyoMbona ueleweki shida yako ni nini!
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco mtu akilipia inachukua muda gani kupata huduma nmelipia tar 21 october ni kufunga umeme tu nguzo ipo nmeuliza nmejibiwa hakuna mita mpaka zifike,je inachukua muda gani kufikisha mita uku mwisho wa reli