TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Jina: shule ya msingi kambarage

Eneo: kijiji cha mwinyi

Wilaya:urambo

Namba ya simu: 0622156966

Tatizo: nimewasilisha taarifa zote tanesco za kuwekewa umeme Ila mpaka Leo sijawahi waona wakija kupima hii taasisi ya serikali tatizo ni nini wakati nguzo ipo mpaka shuleni.

Toka lini: mwezi wa name mwanzoni.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Kwanini hamtaki kutoa control number kwa wateja wanaohitaji umeme uwafikie kwa nguzo moja au zaidi pale Dodoma?. Mnasema bei elekezi ya 27,000 inawapa hasara kwanini msiiambie serikali badala ya kutesa wananchi wenye uhiyaji wa umeme?
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Mkiweka nguzo inachukua muda gani mpaka muweke wire na kuunganisha?..naona kisarawe II nguzo zimewekwa tu..wakumbushe
 
Kisarawe II pembeni ya yard ya magari...wamechomeka nguzo tu bado wire
 
Tanesco tafadhali naomba mnijulishe namna yakupata ile remote yakuingizia umeme ya kwangu imepotea
 
kwanini shirika Linalotegemewa linakua limejaa watendaji wanasiasa wasiotaka kusema ukweli kama kuna tatizo badala yake wamekuwa wakipiga siasa hata kama wanajua fika kuna tatizo kubwa la Umeme Ifike wakati kama Shirika limeshindwa kuhudumia waruhusu mashirika mengine kama ilivo kwa mitandao ya simu.

Hii itaenda mpaka lini umeme, maji kuwa yanakatika katika muda wote tofauti na sasa Kukatika kila siku, mbona wakati wa Magu haya mambo yalipotea kabisa au ni mbinu za kutaka wauze majenereta waliyoingiza kwa wingi....
 
Mbona ueleweki shida yako ni nini!
 
Tanesco mtu akilipia inachukua muda gani kupata huduma nmelipia tar 21 october ni kufunga umeme tu nguzo ipo nmeuliza nmejibiwa hakuna mita mpaka zifike,je inachukua muda gani kufikisha mita uku mwisho wa reli
 
Tanesco mtu akilipia inachukua muda gani kupata huduma nmelipia tar 21 october ni kufunga umeme tu nguzo ipo nmeuliza nmejibiwa hakuna mita mpaka zifike,je inachukua muda gani kufikisha mita uku mwisho wa reli
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Kila siku mnakata umeme tatizo ni nini?

Eneo kubwa halina umeme alafu hakuna taarifa na mpaka muda huu umeme hakuna
 
Huu ni uzi maalum wa kupata updates ya umeme eneo lako ulipo.

Kumbuka umeme kwa sasa ndio engine kuu ya uchumi kuanzia kuchaji simu ili uweze kuwa online, kuendesha biashara za wajasiriamli wadogo, wakati na wakubwa! Kuendesha shughuli za serikali n.k

1. Eneo ulipo (Kijiji/Mtaa, Wilaya, Mkoa)

2. Muda ambao umeme umekatika

3. Muda ambao umeme umerejeshwa

Light for life
 
Huku kibaruani kwetu toka nimefika asubuhi hii umeme hamna. Vipi hapo kazini kwako na mtaani kwako umeme upo? Tujuze
 
Back
Top Bottom