Tanesco jamani mnakata uneme saana kwa siku hadi mara nne - kwa Kijitonyama Ali maua emergency ukipiga wanachukua namba ya simu namba ya taarifa unapewa, halafu unapigiwa
Kesho yake kweli ??? Unapigiwa wakati umekaa giza masaa 7 unarudi wanapiga simu , halafu wanakata tena anakupigia mwingine kesho yake ! Mchezo huu huu - kweli hili shirika hakuna uwekedi kabisa, najua hata wao wanajijua.
 
TANESCO chini ya January Makamba mmefeli pakubwa sana bora angeachwa Dr. Kalemani kuliko J. Makamba.
 
Kuanzia ofisi za Forodha za Tanzania ni mwendo wa generator hadi madukani.

Hivi hii aibu iliyoanza hivi karibuni ni kweli imeshindwa kutatulika?

Nipo na Wamarekani na ndiyo mara yao ya kwanza kufika hapa kwetu na walichoniuliza kwa nini upande wa Tanzania ni kelele za generator, je kuna tatizo gani yaani nimeshindwa nijibu nini?

Ilaaniwe CCM ya sasa hasa Makamba.
 
Nakuona sukuma gang ukiwa kazini dadeeeeki
 
Makamba hoyeeeee
 
Kama ni matengenezo muwe mnatoa taarifa hii itasaidia kuondoa lawama.
Kuna Facebook, Twitter, Instagram, jamii forum n.k kote mpo.
Mnashindwa kutoa taarifa?
 
Malalamiko
Malalamiko
Malalamiko

Kila kona,Huyu Kalipia muda mrefu hajaunganishiwa umeme.

Kule,Umeme unakatika Sana na hakuna taarifa za mgao(Vifaa vinaaribika)!
Hapa ameshindwa kupata control number sababu anaitaji nguzo.!
Sehemu kubwa ya hizi keep ni mazingira ya RUSHWA TU.

Binafsi,nimelipia tarehe 27/10/2021 nikaendelea kusubiri kimyaaa nilienda ofisini pale Tabata Liwiti wakanijibu wanashughulikia waliolipia mwezi wa 8,Niendelee kusubiri nitapigiwa simu!!Simu haipigwi ijumaa ya juzi tarehe 13/11/2021 nikampigia saveya akanijibu nitoe LAKI 1(100,000/) hapa nitafungiwa kwa haraka.
SIJATOA NA BADO NALALA GIZANI.
0714 411041.
 
Ndugu wilaya nzima hakuna umeme MDA huu hakuna tangazo wala nini ,kama na wewe haupo tufalijiane
Kwetu walikata kuanzia saa moja asubuh, mda huu ndo unarudi, watu wanashangilia utadhani ni msaada tunapewa [emoji3], haya wacha tuchaji chaji viambato vyetu, siku ilikuwa nzito leo.
 
Nilipo ulikatika alfajiri umerudi usiku huu...
Giza linatisha sana [emoji23] wale ndugu wanaonya.ndua.na gizani hakii siwaelewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kale kamchakato ni automatic, wala hakaitaji msaada wa umeme au taa [emoji16][emoji16]
 
Kwa Wilaya yako bado tunaendelea kuwafungia waliolipia mbele yako hivyo haupaswi kutoa chochote kwa mtu yeyoye na kama unamtu anayekuambia utoa chochote tupatie taarifa DM tuzifanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…