Ndani ya nusu saa, kuanzia saa moja na robo jioni hadi sasa mbili kasoro robo umeme umekatwa mara tatu, Sasa hivi umewashwa tena lakini hauna nguvu. Tanesco ivunjwe tu, haiwezekani mdudu huyu awe anakusanya pesa bila kutoa huduma stahiki.Ndugu wilaya nzima hakuna umeme MDA huu hakuna tangazo wala nini ,kama na wewe haupo tufalijiane
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana, sijui kwa nini ukawaza hivyo we mtoto.Nilipo ulikatika alfajiri umerudi usiku huu...
Giza linatisha sana [emoji23] wale ndugu wanaonya.ndua.na gizani hakii siwaelewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku Matosa hakuna umemeNdugu wilaya nzima hakuna umeme MDA huu hakuna tangazo wala nini ,kama na wewe haupo tufalijiane
Tanesco tunaomba majibu yanayoeleweka taarifa ya kukosekana kwa umeme ilikuwa inasema toka saa12 asubuhi hadi saa12 jioni saa hivi ni saa tatu na robo usiku umeme haujarejea tokea ulivyokatika saa11 na nusu alfajiri tufuate lipi naomba jibuKwa Wilaya yako bado tunaendelea kuwafungia waliolipia mbele yako hivyo haupaswi kutoa chochote kwa mtu yeyoye na kama unamtu anayekuambia utoa chochote tupatie taarifa DM tuzifanyie kazi
Mkuu, Mlandizi ya Kibaha, wapo waliolipia tar 3/9/2021. Majibu tunayopewa ninkua tuwe wavumilivu bado wanapambana na foleni je tutegemee lini? Maana tar 3/9 mpqka leo ni zaidi ya two months and a halfKwa Wilaya yako bado tunaendelea kuwafungia waliolipia mbele yako hivyo haupaswi kutoa chochote kwa mtu yeyoye na kama unamtu anayekuambia utoa chochote tupatie taarifa DM tuzifanyie kazi
Hivi matosa ni upande wa goba?Huku Matosa hakuna umeme
Tafadhali onesha namba ya simu iliyoandikwa kwenye form kwa hatua zaidiMkuu, Mlandizi ya Kibaha, wapo waliolipia tar 3/9/2021. Majibu tunayopewa ninkua tuwe wavumilivu bado wanapambana na foleni je tutegemee lini? Maana tar 3/9 mpqka leo ni zaidi ya two months and a half
Nyaraka zilizodhibitishwa zinaonyesha uhalali wa kubadilisha jina kutoka jina moja kwenda lingine mfano hati ya umiliki wa aridhiKutokana na Kodi ya pango kukatwa kwenye LUKU, msaada wa kubadilisha jina lililokosewa kipindi cha usajili ni vitu gani natakiwa kupeleka kama vithibitisho?
AsanteniNyaraka zilizodhibitishwa zinaonyesha uhalali wa kubadilisha jina kutoka jina moja kwenda lingine mfano hati ya umiliki wa aridhi
0714440078Je uliandika namba ya simu upi kwenye fomu yako
Kwanini mnakata kata umeme yaani kila siku umeme unakata na ni zaidi ya masaa 12 kila siku mnataka hapa dumila morogoroNyaraka zilizodhibitishwa zinaonyesha uhalali wa kubadilisha jina kutoka jina moja kwenda lingine mfano hati ya umiliki wa aridhi
Kitendo cha Kalemani kufukuzwa bila ya sababu kuelezwa kimestaajabisha wengi!Sijui kipindi cha Kalemani hizi maitanance hazikuwepo?.... sijui Dr. Kalemani alikuwa anatumia ujuzi gani kuhakikisha umeme haukatiki mara kwa mara.
But, matatizo makubwa Mimi kwa upande wangu ni mawili.
1. Ujuaji wa waziri aliyepo sasa
2. Huwezi kuingia kwenye shirika afu unafumua management yote....
Tuna tatizo kubwa sana huko mbeleni. Mama awe makini na hawa vijana wenye ambition ya urais.