Imagine wamerudisha na wamekata baada ya dakika kama 20, hii ni Mara ya nne toka asubuhi saa moja kasoro.
 
Kimara mwisho njia ya Bonyokwa hapa, Kwan TANESCO tumewakosea nn ? Kila siku iendayo kwa Maulana mnatukatia Umeme Tena kuanzia asubuh na kuurejesha jioni shida ni Nini ?
 
Kimara mwisho njia ya Bonyokwa hapa, Kwan TANESCO tumewakosea nn ? Kila siku iendayo kwa Maulana mnatukatia Umeme Tena kuanzia asubuh na kuurejesha jioni shida ni Nini ?
Dawa ni kuwaletea mgomo wa kibano tu. Wanavyopita na magari yao wanajionaga kama wamepanda usafiri wa kwenda mbinguni, ngoja tu.
 
TANESCO yaani leo ni zima..washa..zima..washa...huku Kimara,mnatutafuta nini lakini nyie watu?!!😡
 
Jina Japhet Hamaro

Eneo Tegeta Boko

Wilaya kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo umeme unawaka na kuzima baadhi ya nyumba toka jana Asubuhi
 
Jina Japhet Hamaro

Eneo Tegeta Boko

Wilaya kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo umeme unawaka na kuzima baadhi ya nyumba toka jana Asubuhi
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
 
Tanesco ombi langu la kufungiwa umeme tangu tarehe 21 october mnalifanyia kazi kigoma mjini nahitaji mita tu mnisaidie mwee
 
Tanesco.. nimewekewa umeme kama mwezi mmoja umepita, lakini najaribu kununua umeme naambiwa namba ya mita haitambuliki hivyo siwezi kununua umeme naendelea kukaa gizani. Naombeni msaada tafadhali
 
Yani TANESCO kilanhatua ni foleni.
1. Survyeror kaja 4/6, 2021
2. Contror no tar 3/9/2021
3. Nguzo imekuja tar 22/11/2021
4. Umeme ........haijulikani kila asubuhi naamka naiangalia nguzo tu maana tangu nguzo imekuja zishakatika wiki tatu
 
Arusha, Ungalimited, maeneo ya soko mjinga umeme toka Asubuhi hakuna.

Tanesco jitafakarini sijui mnakwama wapi nyie.
 
Tanesco mjitafakari hamuwezi kaxi hata kidogo kila kitu kibayaaa bongo labda wanawake tu ndio wapo wazuri
 
Yani TANESCO kilanhatua ni foleni.
1. Survyeror kaja 4/6, 2021
2. Contror no tar 3/9/2021
3. Nguzo imekuja tar 22/11/2021
4. Umeme ........haijulikani kila asubuhi naamka naiangalia nguzo tu maana tangu nguzo imekuja zishakatika wiki tatu
Tafadhali onesha wilaya,namba ya simu na eneo husika kwa hatua zaidi
 
Tafadhali onesha wilaya,namba ya simu na eneo husika kwa hatua zaidi
Hadi leo bilabila mwaka unaenda kuisha bila umeme
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725

Salumu issa
O713552943
Ilala chanika
Kimwani street
 
Vitu vya bei rahisi shida sana.

Hata ukienda kwenye maduka mfano ya spea za magari ukitafuta spare zipo za bei rahisi ambazo zinasumbua na za bei ya kawaida lakini ni imara sana.
 
Baadhi ya maeneo ya ubungo kwa sasa hayana umeme muda huu tayari jamaa washafanya yao........
 
Vitu vya bei rahisi shida sana.

Hata ukienda kwenye maduka mfano ya spea za magari ukitafuta spare zipo za bei rahisi ambazo zinasumbua na za bei ya kawaida lakini ni imara sana.
Kiukweli hawa jamaa hawakujipanga walikurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…