TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
- #11,501
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi jamani TANESCO mmeshindwa kabisa kuzuia ujinga wenu siku Kama ya leo ????? Yaani tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru halafu bila aibu mnakata umeme kabisa Yani hamna aibu kabisa????? Huu ushenzi mtaacha link jamani? Kati ya sherehe ya miaka 60 mnakata umeme????
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000