TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Mimi Nina mwezi wa tatu huu nasubiria kupewa control number ili kuunganishiwa LUKU kwenye eneo la biashara. Hivi wenzetu mnafanya kazi kwa style gani?? Nimepiga simu, fuatilia wapi.... Bado na LUKU sijafungiwa. Dahhh!!!!
 
Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2
Kwanini hii namba inatajwa kuwa haipo? Je mnaweka namba mfu kwa faida ya nani?
 
Mimi Nina mwezi wa tatu huu nasubiria kupewa control number ili kuunganishiwa LUKU kwenye eneo la biashara. Hivi wenzetu mnafanya kazi kwa style gani?? Nimepiga simu, fuatilia wapi.... Bado na LUKU sijafungiwa. Dahhh!!!!
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Inabidi kitengo cha Emergency kiangaliwe upya, mtu unatoa taarifa tokea jana hadi sasa tatizo halijatatuliwa na ni eneo ambalo linafikika na TANESCO chini ya dakika kumi
 
Kwanini hii namba inatajwa kuwa haipo? Je mnaweka namba mfu kwa faida ya nani?
Hawa ndiyo Tanesco wetu
Inabidi kitengo cha Emergency kiangaliwe upya, mtu unatoa taarifa tokea jana hadi sasa tatizo halijatatuliwa na ni eneo ambalo linafikika na TANESCO chini ya dakika kumi
Nimeingia kwenye page yao nikapiga namba hizo, nyingine hazipatikani, hiyo ya kati inatajwa kuwa haipo kabisa

👉Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

nikawaandikia👇
Kwanini hii namba inatajwa kuwa haipo? Je mnaweka namba mfu kwa faida ya nani?

Hili 👇 ndilo jibu lao, inashangaza, mtu napiga simu Morogoro, naambiwa namba haipo, nawaarifu kuwa namba inatajwa kuwa haipo, mtumishi anauliza nataka kupiga simu mkoa gani wakati wao wameandika hiyo ni namba ya Morogoro,
Je unataka kutoa taarifa Mkoa gani haswa?
 
Tanesco nyie wahuni tu, mmejaza Malarushwa tu, hamtusaidii wa tz
 
Nimeambiwa leo mnakuja kunifungia umeme hadi saa hizi kimya nmetega kwenda kibaruani hadi saa hizi siwaoni
Kwanini mnakua wasumbufu

0713552943
Ilala chanika kimwani street
Tutakufikia mkuu wetu
 
Kwa maskitiko makubwa kabisa leo naandika hapa,baada ya Tanesco Morogoro kushindwa kupeleka surveyor katika nyumba ambayo fomu yake ilijazwa na kukabidhiwa tangu 29/06/2021.

Niliwa-dm last time mkasema mtafanyia kazi lakini mpaka Leo hakuna surveyor aliyepata.

Hata siku surveyor akipita maana yake itanibidi nisubiri miezi 6 kupata control number na miezi 6 tena kupata umeme
 
Je uliandika namba ya simu ipi?
 
Hatimae jana nimefungiwa umeme baada ya kufatilia tangu June.
Mabadiliko niliyoambiwa ni haya.
1. Mita mpya utakopeshwa unit 10 tu na sio 50 kama zamani.
2. Nimeungiwa Dec lakini natakiwa kulipia kodi y pango tangu kunza kwa mwaka mpya wa fedha yani nitalipa July- Dec miez saba hiyo 7, 000
Kwa maana hiyo nitakaponunua umeme kwa mara ya kwanza natakiwa kulipa kwanza unit 10+ 7000(kodi ya jengo ambapo sikua na umeme) kisha pesa itakayobaki ndio umeme ntakaopewa.
Maelezo haya nimepewa na fundi aliyekuja kuniungia umeme.
Kwasababu sina mbadala nimelazimika kuitikia NDIYO na kutoa neno ASANTE tu ila hii kodi ya jengo kulipia miezi ya nyuma naona kama ni ka wizi flani hivi.
Mpira kwenu Tanesco tunyoosheni tu
 
Back
Top Bottom