Tanesco imelemewa kabisa haina uwezo wa kutoa huduma za kiwango bora .

Suluhisho ibinafsishwe kwa kampuni ya kimataifa yenye uwezo sio ya china na India.
Au
Kila Mkoa au kanda iwe na shirika lake la kutoa huduma za umeme ikiwa pamoja na uzambazaji na marekebisho , tanesco Ibaki kuzalisha umeme tu
 
Jamani naomba namba za Tanesco Mbezi Beach emergency. Nilizonazo na zilizoandikwa kwenye tovuti yao zinasema not reachable au hiyo namba aipo.Tanesco mnaboa sana hukuna Mbezi Beach hakuna umeme tangu saa sita tena nyumba chache kuelekea Goba.Jirani yangu anao jamani
 
Tanesco Jamani nimetuma maombi muda sasa naambiwa nisubiri nguzo hazipatikani sasa hawasemi nisubiri muda gani unaenda mwezi wa pili hata control namba sijapewa naambiwa kusubiri tu mana hata kuna ambao hawajahudumiwa toka mwezi wa tisa Nguzo hazipatikani,Tatizo ni nini?.Tanesco Bagamoyo
 
Tunaomba msaada wenu. Ni siku ya tatu hatuna umeme.

Kijiji: michungwani
Kata: Mabalanga
Wilaya: Kilindi
Mkoa: Tanga
Namba: 0621149433.

Tumewasiliana na TANESCO Kilindi wakatuambia tunahudumiwa na handeni. Wa handeni wakasema tunahudumiwa na Kilindi.

Msaada tafadhali
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Nimeingiza umeme kwa makini bila kukosea ila jibu ni Error, kulikoni? Nisaidieni Leo ninalala giza.
 
Nipo Kerege - CCM, Bagamoyo, no ya luku 24219770880, umeme hauingii, kulikoni? Jina ni Joseph Abdala Lebai
 
MNAKATA UMEME HATA SIKU YA MAADHIMISHO YA UHURU MIAKA 60!
leo ndio mmedhihitisha ninyi mnafaa kuwa privatized maana hata umuhimu wa hii siku kitaifa na kimataifa hamuithamini. Mtatumbuliwa mpaka lini??
 
Kuna hitilafu gani tena imetokea muda huu!? Haipendezi kabisa wahusika wa TANESCO kukata umeme wakati watu wanafuatilia matukio yanayoendea mubashara katika Uwanja wa Uhuru, kuhusu sherehe za Uhuru.
 
Hivi jamani TANESCO mmeshindwa kabisa kuzuia ujinga wenu siku Kama ya leo ????? Yaani tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru halafu bila aibu mnakata umeme kabisa Yani hamna aibu kabisa????? Huu ushenzi mtaacha link jamani? Kati ya sherehe ya miaka 60 mnakata umeme????
 
Yaani hakuna shirika lenye stress kama hili , wapuuzi wamekaa tu na magari yao yameandikwa emergency Ila haiwasaidii nchi kabisa,

Binafsi ningeingia hilo shirika nafukuza mbwa wote naanza upya. Shirika gani unakuta mama, mjomba Hadi mjukuu wanafanya kazi hapo? Kama ilivyo bandarini Yani nafukuza wote. Wapumbavu sana.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…