Nilipopiga simu muhudumu wenu hakutoa namba ya taarifa amesema hilo tatizo limekwisha tolewa taarifa toka jana linafahamika! Jee unanishauri nifanyeje?Tafadhali onesha namba ya simu na namba ya taarifa kwa wepesi wa kufanyia kazi taarifa zak
Baada ya kujieleza muhudumu kanipa namba ya taarifa ni 8940 na mpaka sasa hatuna umeme leo siku ya 3!Nilipopiga simu muhudumu wenu hakutoa namba ya taarifa amesema hilo tatizo limekwisha tolewa taarifa toka jana linafahamika! Jee unanishauri nifanyeje?
Mbagala eneo la Mgeni nani wilaya Temeke mkoa Dar-es-Salaam. Namba ya taarifa ni jana hili tatizo ni toka juzi tarehe 30-12-2021 mpaka leo 1-1-2022!Je ni Wilaya gani? Namba ya taarifa umeopata mwezi gani?
Shukuran sanaTunaifanyia kazi tafadhali
Huyo mpokea taarifa toka jana tunamueleza eneo la tatizo hataki anatujibu eneo la Mbagala kuu toka juzi wamepokea hizo taarifa na mafundi wanashughulikia hilo tatizo!Taarifa hii imepokelea jana saa 12 jioni na imepelekwa idara nyingine kwa hatua zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha watu wafanye biashara zao. Nchi imekuwa bustani ya mapera ya bibi kila mwenye hitaji anachuma anaondoka. Kawekwa mbwa koko pale anabwata hana meno.
TANESCO wanaangaza maisha yakoMbagala eneo la Mgeni Nani umeme umerudishwa
Ahsante kwa ushirikiano
Uukiukizwa unafanya kaz gan tanesco utajib nn..ni kaz ya kukata umeme na kuridisha kwel...hebu onen aibu..mnatia hasira sanaWazee mbona hii tabia ta kukata umeme na kurudisha imekithiri..hiv hamuon aibu tanesco...hiv hata mbele za watu kwel unaweza toka kusimama na ukasema unafanya kaz tanesco kwel?
Kiukweli wanatia hasira sana yaaniUukiukizwa unafanya kaz gan tanesco utajib nn..ni kaz ya kukata umeme na kuridisha kwel...hebu onen aibu..mnatia hasira sana
Huduma imerejea muda huu mara baada ya kukamilisha kazi ya kuunga waya wa laini kubwa uliokuwa umekatikaKimara mwisho,stop over kote hamna umeme now!tangu juzi ikifika usiku wa manane mnakata umeme.
Jana ndio mmekata saa 9 mpaka muda huu saa 6 mchana bado hamjarudisha TANESCO
Umerudi stop over ila Kimara mwisho bado tunausubiri hauonekani.Huduma imerejea muda huu mara baada ya kukamilisha kazi ya kuunga waya wa laini kubwa uliokuwa umekatika