Cod-2
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 297
- 434
Tanesco tangu muanzishe kituo Cha kupokea simu Cha pamoja mnaita #CallCenter, vituoni hamna watu wa kupokea taarifa za wateja usiku! Kwa mfano tatizo likitokea na upo karibu na ofice za tanesco ukienda unawakuta walizi tu hakuna mpokea taarifa yoyote unamkuta.
Kingine ukiripoti tatizo usiku mpaka kesho yake ndo mafundi wanafika. Maana pale ofisini hakuna mtu usiku kucha wa kupokea taarifa kutoka CallCenter na kuwatumia mafundi walioko site ili wafike kwa mteja kutatua tatizo haraka.
Ahsante tafuteni namna ya kutatua hii shida ...