Tanesco tangu muanzishe kituo Cha kupokea simu Cha pamoja mnaita #CallCenter, vituoni hamna watu wa kupokea taarifa za wateja usiku! Kwa mfano tatizo likitokea na upo karibu na ofice za tanesco ukienda unawakuta walizi tu hakuna mpokea taarifa yoyote unamkuta.

Kingine ukiripoti tatizo usiku mpaka kesho yake ndo mafundi wanafika. Maana pale ofisini hakuna mtu usiku kucha wa kupokea taarifa kutoka CallCenter na kuwatumia mafundi walioko site ili wafike kwa mteja kutatua tatizo haraka.

Ahsante tafuteni namna ya kutatua hii shida ...
 
Malipo yamekamilika.54205331363
9001220021908244650
Units 1.5KWH

Token 0558 2578 7050 3856 7033

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 1,000.00
TOTAL 1,500.00 02/01/22 19:08

Mkuu nahisi hii mita inashida...imefungwa mwezi wa 11..imekatwa 6,000 mwezi wa 12, leo tena imekatwa 1000..
 

Check hii ni tarehe 24 december 2021
 
Nmelipia umeme kuanzia mwezi wa saba hadi leo sijaekewa umeme,nyie n bure kabisa muda mwngne

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Mteja anakata kiasi cha Tsh 12000 kwa Mwaka wa fedha hivyo ni sawa kabisa kwa kuwa unapaswa kukatwa mpaka ukomo wa Tsh 12000 tu kwa nyumba za makazi
Nyumba za kawaida, za ghorofa ni Tsh 60000 kwa Mwaka wa fedha sawa na Tsh 5000 kwa mwezi
 
Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032883268
Kiasi: 27000.76 TZS
Risiti: 921257068549688
2021-09-14T13:06:27
Kupitia: FB52891631613987

Wilaya kibamba
Mkoa dar-es-salaam
Nchi TANZANIA ya viwanda

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hatuelewi ni kwani mnafanya hivi usiku wakati mchana kutwa nzima umeme haukatiki

Usiku wa kuamkia Jana na leo mmekata umeme na kutufanya tuloe majasho na tusipate usingizi

Kama kuna matengenezo ya usiku toeni taarifa na mtoe sababu kwanini hayo matengenezo yanashindwa kufanyika wakati wa mchana

Mnakera sana badirikeni
 
Leo nalala giza kwa Mara ya kwanza tangia niamie kwangu zaidi ya miaka mitano imepita
Naitwa said
Nipo bunju A usalama karibu na kanisa la efatha
Wilaya Kinondoni
Mkoa wa Dar es salaam
TATITO LANGU
Umeme umeisha
Nimenunua token vizuri sana
Rimoti na mita wamepoteza mawasiliano
Rimoti aiwaki ile taa ya internet
Kila ukiingiza umeme yenyewe ina seach tu mwanzo mwisho
hakuna signal yeyote
hata ukiulizia salio hakuna signal
Sasa ndio mnambie hii Rimoti imekufa au imezimia
Namba zangu za mita 24219180114
Kama kuna chochote cha kufanya mnielekeze basi......joto hatari changanya na vibaka juu na show siwezi kupiga hapo ..
 
Wakuu....this is too much

Mbona mambo yako vivid sana wakuu

Au ni wenge langu mim

Mbona shida ni nying au ni mim peke yangu

Kwanza nikiweka wese la 20 napata lita 7.8

Umeme unakata mfululizo leo nmehesab..ni wik ya 3 hii umeme kila siku unakata saa tisa usiku had saa kum na mbil asubuh

Mbona nateseka snaa jaman na haikuaga hiv?

Daaaaah eeh Mungu wangu eeeh.dahhh...
 
Marekebisho ya mitambo yanaendelea, si unajua kwa mida wa miaka mitano mitambo haikufanyiwa ukarabati?
 
Mbona mnakata umeme usiku wa manane nyie tanesco ndo kutukomesha au?..wiki ya 3 hii mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…