Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu wakikujibu ni tagMbna nmemlipia mtu mwingne hata week haijafika amepata hii inakuwaje au niweke na ushahid
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Leo wanakata maana mjini haukuwepo jana, dah hili swala la umeme kukatika katika hovyo linatuumiza wengi, mambo yetu yanakwama sana 😞Leo Tanesco wameupiga mwingi.Umeme haujakatika tangu asubuhi👌👍
Ndugu MtejaTanesco, tunapataje LUKU leo, au ndo hadi ofisi za tanesco MKOA maana mitandao ya simu luku hainunuliki leo???
Ndugu MtejaTanesco.. mbona tunanunua umeme roken hazirud hela mnakata.. nmejarib tena leo asubuh hivyo hvyo .. mbona mnatutesa sana wakuu
Rudisheni umeme eneo laNdugu Mteja
Tafadhali fanya manunuzi sasa huduma inapatikana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000