TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kwanini #Tanesco wasi import Mita za kutosha toka China na Nchi nyingine? Hivi wakileta Mita Milioni 1 kwawakati mmoja na uku kiwanda cha Tanzania kikiendelea na kuunganisha Mita hivi haioni tatizo hili LA Mita Mita Mita litakua limeisha?

Uzalishaji wa Mita ni mkubwa kuliko ujengaji wa nyumba. Tunakwama wapi
 
Leo Tanesco wameupiga mwingi.Umeme haujakatika tangu asubuhi👌👍
Leo wanakata maana mjini haukuwepo jana, dah hili swala la umeme kukatika katika hovyo linatuumiza wengi, mambo yetu yanakwama sana 😞
 
Tanesco, tunapataje LUKU leo, au ndo hadi ofisi za tanesco MKOA maana mitandao ya simu luku hainunuliki leo???
 
Tanesco.. Mbona mnatuhujumu?
Kwanini LUKU haipatikani?
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa kutupatia taarifa wataalamu wetu wanaifanyia kazi kuhakikisha huduma inatengemaa mapema iwezekanavyo

Ahsante
 
Tanesco, tunapataje LUKU leo, au ndo hadi ofisi za tanesco MKOA maana mitandao ya simu luku hainunuliki leo???
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa kutupatia taarifa wataalamu wetu wanaifanyia kazi kuhakikisha huduma inatengemaa mapema iwezekanavyo

Ahsante
 
Tanesco jamani mita yangu Ina zaidi ya units 100 lakini umeme hauwaki
 
Dsm umeme umekatika tena, wakati tukichambua na kutathmini mwaka mmoja wa Rais mama SSH, duh!
 
TANESCO kuna baadhi ya maeneo jiji la Mwanza hayana umeme tokea dunia iumbwe shida nini? Maeneo kama Fumagila na bukaga.

Inashangaza kuona maeneo ndani ya jiji hayana umeme wakati vijijini siku hizi umeme kila sehemu
 
Je ni eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
 
Tanesco.. mbona tunanunua umeme roken hazirud hela mnakata.. nmejarib tena leo asubuh hivyo hvyo .. mbona mnatutesa sana wakuu
 
Tanesco.. mbona tunanunua umeme roken hazirud hela mnakata.. nmejarib tena leo asubuh hivyo hvyo .. mbona mnatutesa sana wakuu
Ndugu Mteja

Tafadhali fanya manunuzi sasa huduma inapatikana

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
 
Ndugu Mteja

Tafadhali fanya manunuzi sasa huduma inapatikana

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
Rudisheni umeme eneo la
Dumila-kilosa
Mkoa morogoro

Tangu asubuhi hakuna umeme na kila siku mna katakata
 
Back
Top Bottom