Mbna utawala wa mam SSH ulipoingia madaraka tatizo la umeme imekuwa kubwa mno
 
Reactions: _ly
Nyie ni wazimu sana.

Shirika lenu mnaendeshea mtandaoni
Au mmekaa hapa kumdanganya nani au waliowapa hizo nafasi wakija huku waone kwamba mnafanya kazi.

Acheni ushamba mpaka mfuatwe kama mbuzi ndiyo mfanye kazi. Hili jukwaa ni uchafu humu mnajaza tu server pumbavu sana nyie
 
Mm binafsi lawama zote nawapa watendaji wa jamii forums wakiongozwa na mkurugenzi Maxence Melo kwa kuwapa nafas Hawa watu humu bila kuwafuatilia Kama wanchofanya humu n kile walichojipambanua au la

TANESCO N JANGA LA TAIFA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tanesco huku dumila juu

Dumila-kilosa
Kuna nyumba hazina umeme na kuna nyumba zina umeme
Kuna watu wana mashine zao wanashindwa kufanya kazi hebu tusaidieni aisee
 
Tanesco huku dumila juu

Dumila-kilosa
Kuna nyumba hazina umeme na kuna nyumba zina umeme
Kuna watu wana mashine zao wanashindwa kufanya kazi hebu tusaidieni aisee
Huko dumila kwann mliwafanyia nn
Tanesco huko kila siku hamna umeme
 
Sasa jaman hakuna tena umeme wa 27??
hakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
 
Mkuu hapo n bila nguzo?
 
hakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
Tafadhali tambua kuwa bei iliyopitisha na mamlaka ilikuwa 27000 toka mwaka 2016 kwa wateja wa vijijini na 321000 kwa wateja wa mijini
 
Mimi malalamiko yngu kwenu Tanesco ni kwamba nilipewa control no mwezi january nikalipia Tz sh 515 617.52 lkn mpka leo sijapatiwa umeme na hakuna Taarifa yeyote kila nikienda ofisini kuulizuwa naambiwa nitapigiwa simu jmn hyo simu itapigwa nimechoka kusubir
 
Naomba kujibiwa Hilo swali Lina wik ya pili Sasa

Naona leo upo

Mita namba 24210297172

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naomba majibu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…