Sijui kwanini hawajibu matatizo ya wateja wenu Tanesco??Inabidi ugombee ubunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwanini hawajibu matatizo ya wateja wenu Tanesco??Inabidi ugombee ubunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Turiani Madizini Morogoro pia!!Kweli wameboresha ukataji wa umeme
Aisee hii nchi tuna safari ndefu sana yaani umeme umekua hovyo sana sahivi
Ila dumila ndio kumezidi kwa hovyo kabisa umeme umekua ni nadra sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
"TUMERIDHIKA NA MAENDELEO YA MRADI JNHPP" MH KITANDULA
Kwa mara nyingine tena Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kupata pongezi za usimamizi mzuri wa miradi ya umeme nchini ambapo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema kazi kubwa imefanyika ilipotembelea kukagua utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme kwa nguvu za maji wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha jumla ya megawati 2115.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Dunstan Kitandula ameyasema hayo leo Machi 16,2022 alipokua kwenye ziara ya Kamati kukagua maendeleo ya wa mradi huo, ikiwa ni ziara ya kikanuni kutokana na kamati hiyo kuwa ndio yenye jukumu la kuisimamia Wizara ya nishati kwenye utendaji wa taasisi zilizo chini yake.
"Kimsingi kamati tumeridhika na kazi kubwa inayofanyika katika mradi huu, Tunaipongeza sana serikali kwa jitihada inazozifanya kuhakikisha unakamilika na TANESCO kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa mradi" amesema Mhe. Kitandula.
Kwa upande wake Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba amesema Wizara inaridhishwa na usimamizi mzuri wa TANESCO katika utekelezaji wa mradi wa Julius Nyerere.
"Tumefanya marekebisho kadhaa miezi michache iliyopita katika uendeshaji na usimamizi wa mradi na mabadiliko hayo yamesaidia kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi katika kuhakikisha ubora na viwango vinazingatiwa,” amesema Waziri Makamba.
Aliongeza kuwa, dhamira ya Wizara ni kuhakikisha mradi wa Julius Nyerere unakamilika kwa viwango vinavyotarajiwa na watanzania ili uweze kuongeza uhakika wa upatikanaji nishati ya umeme nchini.
Akizungumzia maendeleo ya mradi Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Maharage Chande amesema mpaka sasa mradi umefika asilimia 56.84 kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili mwaka huu.
"Sina mashaka hata kidogo kwamba mradi utakamilika lililopo mbele yetu ni kufanya tathmini na kubuni mbinu za kupunguza muda wa ucheleweshaji hata ikitokea umechelewa basi iwe kwa siku chache iwezekanavyo kazi hiyo inafanyika kiuhandisi na tutafanya kazi usiku na mchana mpaka mradi ukamilike, " alimalizia Maharage.
Ziara hiyo ya kamati imekagua maendeleo ya mradi huo ikiwa ni moja ya jukumu lao la msingi kama kamati Katika kuhakikisha mradi unakamilika ili uweze kuchangia katika shughuli za kimaendeleo nchini.
View attachment 2153322
Rudisheni umeme eneo laTumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Tanesco huku dumila juu"TUMERIDHIKA NA MAENDELEO YA MRADI JNHPP" MH KITANDULA

Huko dumila kwann mliwafanyia nnTanesco huku dumila juu
Dumila-kilosa
Kuna nyumba hazina umeme na kuna nyumba zina umeme
Kuna watu wana mashine zao wanashindwa kufanya kazi hebu tusaidieni aisee
hakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nioneSasa jaman hakuna tena umeme wa 27??
Mkuu hapo n bila nguzo?hakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
Tafadhali tambua kuwa bei iliyopitisha na mamlaka ilikuwa 27000 toka mwaka 2016 kwa wateja wa vijijini na 321000 kwa wateja wa mijinihakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
asante tanesco kwa ufafanuziUpo kama ambavyo ulikuwa hapo awali lakini ni kwa wateja wa vijijini
Ahsante tanesco wacha niede TarakeaUpo kama ambavyo ulikuwa hapo awali lakini ni kwa wateja wa vijijini
Naomba kujibiwa Hilo swali Lina wik ya pili SasaHawa jamaa ubunifu n tatizo kwao wanatakiwa walipwe mishahara kwa Kaz wakizofanya
Swal hakihusian na eneo lakn utaulizwa
Eneo
Wilaya
Mkoa
Mfano mm nimeuliza naomba kujua Kama naweza ingia TARRIF 4 lakn ntaulizwa mkoa wilaya dini mtaa ukoo wangu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naomba majibuHivi TANESCO
Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4
sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM
LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO
JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?
NN MAANA YA KUJA HUMU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Je makazi yako yapo eneo ganiNaomba kujibiwa Hilo swali Lina wik ya pili Sasa
Naona leo upo
Mita namba 24210297172
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nakaa mbagala kilunguleJe makazi yako yapo eneo gani