Duh aisee mm tangia dec mpaka.leo, sina hamu nao hawa jamaa ...tena wana ruka wale wateja wa 27k wana wawekea watu walio omba umeme ata April, kisa wengine wamelipa 27k

Sasa tuwa ulize kwan sie wananchi ndio tulipanga bei iyo ya 27 k ?
 
Duh aisee mm tangia dec mpaka.leo, sina hamu nao hawa jamaa ...tena wana ruka wale wateja wa 27k wana wawekea watu walio omba umeme ata April, kisa wengine wamelipa 27k

Sasa tuwa ulize kwan sie wananchi ndio tulipanga bei iyo ya 27 k ?
Watamani kuturudishia pesa zetu,Ila ndio Haiwezekani.

Siku Hizi wanatupigia simu eti, Wanauliza vp Ushaunganishiwa umeme? Mimi nawaambia Rushwa sitoi na Umeme Mtaunganishaa, Nawachora tu.
 
Watamani kuturudishia pesa zetu,Ila ndio Haiwezekani...Siku Hizi wanatupigia simu eti,Wanauliza vp Ushaunganishiwa umeme?? Mimi nawaambia Rushwa sitoi na Umeme Mtaunganishaa,Nawachora tu.
Eban ww wana kupigia mpaka na simu ?mie hawaja wahi nipigia .
 
TANESCO kimara mmeanza ule upuuzi wa kukatakata hovyo umeme. Hii ni siku ya tatu mfululizo tangu jtatu kila ikifika mida hii ya saa moja,mbili au tatu usiku lazima mkate umeme.

Saa hii hamna umeme hapa Kimara Mwisho.
 
Hili shirika [emoji119][emoji119] sahivi sioni tofauti ya kuishi town na kijijini maana umeme kila leo hamna alafu ni usiku.
 
Nahitaji mtu anaefanya Tanesco Ilemela Mwanza. Kama unafanyia hapo nicheki tuyajenge
 
Maneja wa TANESCO kibaha.tunaomba utuanganzie wakazi zaidi ya 15 wa eneo la Mwanalugali, hisia kali. Karibu na eneo inapojengwa zahanati

-Wananchi wa eneo hili kila tunapofutilia umeme tunaambiwa zinatakiwa nguzo Kati ya tano na kumi kuwafikia Wananchi wote.(Kwa hiyo Ni mradi).

-Huu mradi umekuwa unazungumziwa tangu mwaka 2015 mpaka leo.

-Tanesco ni shirika la kuwaangazia wananchi maisha na siyo shirika la kuwaweka wananchi gizani.

-Mradi unakuwa na timeframe,ni mradi gani hauma timeframe (haukamiliki tangu 2015 mpaka 2022).

-Sisi wakazi wa Mwanalugali tunaamini TANESCO Kibaha wanazo nguzo za umeme za kutosha.

-Viwanja vya Mwanalugali Wakati vinapimwa 2006 Serikali ilisema kutakuwa na huduma ya maji, umeme, zahanati, soko nk.

-Tunashukuru Serikali imeleta mradi wa maji na zahanati inajengwa.

-wananchi wenye Viwanja wameanza kuendeleza baada ya kuona huduma ya maji na zahanati inajengwa.

Wananchi wengi watakuja kujenga na kuishi Mwanalugali kama huduma ya umeme itafika.

Ushauri
1). TANESCO Kibaha ifikishe nguzo eneo hilo,ili sisi wananchi tulipie service line ya shs320,960

2). TANESCO Kibaha itume wapimaji wake kuja kuhakiki na kufanya makadirio ya hizo nguzo ili kuomba fund TANESCO makao makuu. Mkurugenzi Mikuu wa TANESCO ni kijana safi na result oriented, hawezi kushindwa nguzo 10 za umeme-kibaha Town Council.

3). Kama TANESCO haina fedha wakazi wa tunaweza kuchangia gharama kwa pamoja, badala ya kumwambia mteja mmoja kulipia nguzo tatu zaidi ya milioni Saba, ili kupata huduma.

4). TANESCO iwe inatembelea au inapeleka miundo mbinu ya umeme maeneo yote yaliyopimwa,ili kuleta chachu ya Maendeleo endelevu na kuongeza kanzidata ya wateja.

5). TANESCO Kibaha wanaweza kupeleka/kujenga nguzo za umeme Mwanalugali, wakati wanasubiri vifaa vingine vya umeme,wakishafikisha nguzo karibu na wateja ndiyo waanze kutoa control number kwa wateja ,kwa kufanya hivi shirika litaongeza idadi ya wateja na mapato kwa shirika

Mwisho tunaomba Mkurugenzi wa TANESCO Kanda ya Dar es Salaam na Pwani na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, kutatua changamoto ya umeme Mwanalugali Kibaha Township.
 
Naomba kufahamu, taratibu za kuomba mita ni zile za zamani ? Au kwa kutumia 'nikonekti" maana nimejaribu sipati majibu.
 
Aisee Tanesco nadhani tunatakiwa kuwa na mbadala wa Tanesco kabisa, watu hawawezi kuwa wanapata tabu kununua umeme kila wakati kama vile ni hisani
 
Tanesco huku goba tumewakosea nini embu rudisheni umeme shughuli za uzalishaji zimeesimama
 
Tatizo la kutotuma Token limeanza tena.? Nimenunua umeme nusu saa imepita sijatumiwa token hadi muda huu.? Kulikoni.?
 
TANESCO hamna kitu, binafsi nakusudia niwafungulie kesi!

Mnatuona wajinga! Mkataba wenu na wateja unasema mtu anapolipia kuuunganishiwa umeme, atasubiri siku 90.

Mimi nililipia kuuunganishiwa umeme tangu december 2021, nilienda naambiwa hakuna mita wala Nguzo!

Kwanyodo menaja anakwambia tunamaombi takribani 400, kea hiyo kuwa na subira tu! Ujinga mkubwa, kwa nini muendelee kupokea maombi mapya wakati hamtoi huduma, hii ni sawa na duka lililofilisiki linapokea pesa wakati Halina bidhaa: unaitwa utapeli serikali inatutapeli

January makamba ajitathimini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…