Kwanini basi units zinapungua?Msemaji alisema bei ya umeme itakuwa vilevile haito panda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini basi units zinapungua?Msemaji alisema bei ya umeme itakuwa vilevile haito panda
Duh aisee mm tangia dec mpaka.leo, sina hamu nao hawa jamaa ...tena wana ruka wale wateja wa 27k wana wawekea watu walio omba umeme ata April, kisa wengine wamelipa 27kKwa hiyo wale Tuliolipa 27000/- Ndio basi tena!!! Au Rushwa kwanza....Ndio Tulipofikia hapa.Nimelipa umeme Nyumba 2 Tangu mwezi wa 9 mpaka leo kimya mnataka nije kuwasujudia,Wakati majirani mnakuja kuwaunganishia kila siku....Nawaahidi One Day Yes!!!!
Watamani kuturudishia pesa zetu,Ila ndio Haiwezekani.Duh aisee mm tangia dec mpaka.leo, sina hamu nao hawa jamaa ...tena wana ruka wale wateja wa 27k wana wawekea watu walio omba umeme ata April, kisa wengine wamelipa 27k
Sasa tuwa ulize kwan sie wananchi ndio tulipanga bei iyo ya 27 k ?
Eban ww wana kupigia mpaka na simu ?mie hawaja wahi nipigia .Watamani kuturudishia pesa zetu,Ila ndio Haiwezekani...Siku Hizi wanatupigia simu eti,Wanauliza vp Ushaunganishiwa umeme?? Mimi nawaambia Rushwa sitoi na Umeme Mtaunganishaa,Nawachora tu.
Inawachukua siku ngapi kumuunganisha mteja anayehitaji nguzo Moja, baada ya malipo, maaana Sasa ni mwez mmoja na Wiki Moja Sion dalili#TupoKaziniView attachment 2266237
three monthsInawachukua siku ngapi kumuunganisha mteja anayehitaji nguzo Moja, baada ya malipo, maaana Sasa ni mwez mmoja na Wiki Moja Sion dalili
Mbona huduma ya Luku inasumbua?#TupoKaziniView attachment 2266237