Tatizo la kutotuma Token limeanza tena.? Nimenunua umeme nusu saa imepita sijatumiwa token hadi muda huu.? Kulikoni.?
Wanajilipa billion 61, huduma mbovu, mimi nililipia kuwekewa umeme tangu december 2021, hakuna kitu, ukiwauliza wanakula takwimu za walioomba oooh kuna maombi zaidi ya 400!

Unajiuliza tatizo langu na takwimu zenu vinahuusianaje, mimi nataka umeme wewe unanipatakwimu nifanyejee.

TANESCO nawasiwasi na Elimu zao, kuanza waziri husika hadi mlinzi wa geti
 
tanesco kinondoni/kawe..mimi mkazi wa bunju A, Usalama mtaa wa mkoani shida ikifika saa moja usiku umeme unapungua taa mafriji hayawaki yanatetemeka, nadhani imefika kipindi mpitishe sheria ya fidia ya vifaa vya umeme na majanga kwa ujumla yatakayotokana na uzembe wa shirika lenu..kwann mnaongeza watu kwenye service line ikiwa mnajua line imeelemewa? TANESCO
 
Na hapo mkono ukiwa birika bas
Hata nusu mwaka utangoza
yaaani

niliomba umeme mwez wa saba nilitakiwa nguzo lakini nikapost hum nikaambiwa hivohivo nikajiongeza tayar umeme unawaka ukiwa huna mkono wa kutoa utasota na wanataka ujiongeze mwenyewe
 
Hopeless Tanesco, tangu asubuhi mpàka Sasa hivi karibu saa mbili usiku some parts of Tanga city hakuna Umeme. Na hakuna hata kutoa taarifa kwa wateja. Wamekata tu. Shida tupu mtaani.
 
Hatimaye TANESCO wameniletea umeme baada ya kuusubiria kwa muda wa miezi 6, nililipia ile 27 K last year Dec.. 25 Jun ndio wameingiza umeme

Najipongeza maana nilivumilia na nilikataa kupita short cut.
Asante
 
Nimekuwa nikipiga simu toka tarehe 6 June 2022, nahitaji surveyor akanipimie nipate control number nilipie, cha ajabu mpaka leo 6-07-2022 bado sijapata, sikuweza kuwaza kama hii process inaweza chukua hata 2 days
 
Tafadhali onesha namba ya ombi kwa hatua zaidi
 
Hatimaye TANESCO wameniletea umeme baada ya kuusubiria kwa muda wa miezi 6, nililipia ile 27 K last year Dec.. 25 Jun ndio wameingiza umeme

Najipongeza maana nilivumilia na nilikataa kupita short cut.
Asante
Karibu sana
 
Hopeless Tanesco, tangu asubuhi mpàka Sasa hivi karibu saa mbili usiku some parts of Tanga city hakuna Umeme. Na hakuna hata kutoa taarifa kwa wateja. Wamekata tu. Shida tupu mtaani.
Huduma umerejea sasa tafadhali
 
yaaani

niliomba umeme mwez wa saba nilitakiwa nguzo lakini nikapost hum nikaambiwa hivohivo nikajiongeza tayar umeme unawaka ukiwa huna mkono wa kutoa utasota na wanataka ujiongeze mwenyewe
Tafadhali onesha namba ya ombi kwa hatua zaidi
 
Tafuteni ufumbuzi wa kuuza luku kwa mtindo wa vocha kuanzia shs 500, kuendelea hadi laki moja. Yaani unanunua tu vocha unajaza upo seminar Mwanza umeme unawaka nyumbani Dar.

Haya mambo ya kupanda juu ya stuli kudonoa donoa mita za luku ni ya kizamani. Tunataka umeme digital .yaani ukiingiza tu vocha kwenye simu au app umeme unawaka direct.
 
Tumepokea ombi lako kwa hatua zaidi tafadhali
 
Inawachukua siku ngapi kumuunganisha mteja anayehitaji nguzo Moja, baada ya malipo, maaana Sasa ni mwez mmoja na Wiki Moja Sion dalili
Tafadhali onesha namba ya ombi kwa hatua zaidi
 
Naona mna nguzo za zege miaka 100 zitadumu japo wakulima wa miti ya nguzo imekula kwao ndo ilivyo technology. Sasa mtupunguzie bei ya nguzo maana hizi nadhani ni nafuu zaidi kuliko zile za miti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…