Tafadhali onesha namba ya ombi kwa hatua zaidiDuh aisee mm tangia dec mpaka.leo, sina hamu nao hawa jamaa ...tena wana ruka wale wateja wa 27k wana wawekea watu walio omba umeme ata April, kisa wengine wamelipa 27k
Sasa tuwa ulize kwan sie wananchi ndio tulipanga bei iyo ya 27 k ?
Tafadhali onesha namba ya ombi kwa hatua zaidiKwa hiyo wale Tuliolipa 27000/- Ndio basi tena!!! Au Rushwa kwanza....Ndio Tulipofikia hapa.Nimelipa umeme Nyumba 2 Tangu mwezi wa 9 mpaka leo kimya mnataka nije kuwasujudia,Wakati majirani mnakuja kuwaunganishia kila siku....Nawaahidi One Day Yes!!!!
Elimu imetolewa na inaendelea kutewaNIKONEKT kwanini msitoe matangazo ya kutosha kwa sasa? Pia kwa sasa bado changamoto ni kubwa kwa Wakandarasi na Mafundi walio sajiliwa na EWURA hapa mkoa wa Kagera ni wachache sana wamefanikiwa kujiunga na mfumo mpya na kesho ndiyo tunaanza kuutumia.
Mmechelewa kujibu. Lakini Kwa Sasa ujumbe umefika Kwa wananchi.Elimu imetolewa na inaendelea kutewa
Huu sio Utetezi mzuri katika sehemu kama hii,Tunaongea kero za Jamii nzima sio Mtu mmoja mmoja kama mnavyofikiri....Ukiangalia hiyo kero yangu ni sehemu nyingi.Tafadhali onesha namba ya ombi kwa hatua zaidi
Hakuna kero sehemu nyingi kwa kuwa wateja wanaendelea kupatiwa huduma, tafadhali onesha ushirikiano ili upatiwe hudumaHuu sio Utetezi mzuri katika sehemu kama hii,Tunaongea kero za Jamii nzima sio Mtu mmoja mmoja kama mnavyofikiri....Ukiangalia hiyo kero yangu ni sehemu nyingi.
Ukifika ofisi zetu za eneo lako utapata vipeperushi vya Nikonekt, karibu sanaMmechelewa kujibu. Lakini Kwa Sasa ujumbe umefika Kwa wananchi.
Ninaombi kwenu nahitaji ubao tangazo la Nikoneck. Pia vipeperushi na kama itawezekana nipate na Vipeperushi vya kuiandika vya Nikoneck. Nipo Karagwe ni Mkandarasi.
Dodoma michese tumewekewa nguzo tangu mwaka jana mwezi wa sita nyaya hazijapitishwaElimu imetolewa na inaendelea kutewa
Mkuu Michese dodoma hakuna nyaya tunahitaj umeme mkuu!!!!!!Ukifika ofisi zetu za eneo lako utapata vipeperushi vya Nikonekt, karibu sana
Michese dodoma "Muungano B" hawajaweka nyaya nguzo zipo tangu mwaka jana mwezi wa sitaUkifika ofisi zetu za eneo lako utapata vipeperushi vya Nikonekt, karibu sana
Nililipa mwezi wa march 2022 namba ya malipo 991033381872Je umelipia lini? Namba ya simu au namba ya ombi tafadhali
Napenda kufahamu inachukua muda gani kwa mteja kupata gharama zake (bill) baada ya ombi la umeme kupitia nikonnect..Ukifika ofisi zetu za eneo lako utapata vipeperushi vya Nikonekt, karibu sana