Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Akishaingiza taarifa za wayaring inachukua muda gani kupewa control number ya kulipia?
 
Ikiwa mtu amelipia umeme, (new connection) siku 90 zimeisha na hajaingiziwa umeme, anapaswa kufanya nini? Kuchukua hatua gani?
NB: haki iliyo cheleweshwa ni sawa na haki iliyo potezwa!
 
Ni mwezi sasa tanesco hamji kunifanyia survey ingali mkandarasi ameshakamilisha kutuma fomu na mmerudisha ujumbe kwangu nisubiri kupimiwa na kupewa control number.nn tatizo?maana wenzangu wanapimiwa kwa wakati.
 
Hivi Tanesco mna shida gani yani Mradi wa kupunguza mafuriko ambayo yanaingia hadi kwenye power station yenu lakini mnasumbua kutoa nguzo na stays zenu ili TARURA wajenge mtaro kuwasaidia mitambo yenu isilipuke. Lakini hamtaki mnazungusha tu na kuchelewesha mradi, Mradi wa Mtaro ni wa emergency ili kuokoa mafuriko nyie mnakomaa sijui mara order namba ili muondoe miundo mbinu yenu wakati mna kitengo cha emergency sasa kina kazi gani.
Haya yanaendelea wilayani Kasulu, Wewe meneja wa Tanesco Kasulu kwanini unakuwa hivyo au unataka TARURA wayaache maji yaingie kwenye machine zako zilipuke na watu wakose umeme umekomaa fidia mbona nyie mnaweka Manguzo yenu ya REA kwenye mashambana viwanja vyetu bila kutufidia na tunawaacha tu angalau tupate huduma ya umeme.
Hebu ondoeni stays na nguzo zenu Tarura wajenge Mtaro bhna mnakera sana.
 
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Ni mwezi sasa tanesco hamji kunifanyia survey ingali mkandarasi ameshakamilisha kutuma fomu na mmerudisha ujumbe kwangu nisubiri kupimiwa na kupewa control number.nn tatizo?maana wenzangu wanapimiwa kwa wakati.
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Ikiwa mtu amelipia umeme, (new connection) siku 90 zimeisha na hajaingiziwa umeme, anapaswa kufanya nini? Kuchukua hatua gani?
NB: haki iliyo cheleweshwa ni sawa na haki iliyo potezwa!
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Akishaingiza taarifa za wayaring inachukua muda gani kupewa control number ya kulipia?
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
Nimetaja na wilaya kabisa hamjaelewa nini other wise ninajibizana na roboti
 
Nimetaja na wilaya kabisa hamjaelewa nini other wise ninajibizana na roboti
Tafadhali tambua hauwezi kuona kwa kutumia wilaya ni sawa na kwenda bank usema natokea Tabata halafu bank ikutafute, unaweza kutuma taarifa hata dm
 
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
Nimesha toa taarifa zaidi ya mara 3, HAKUNA JIBU
Swala ni " ukilipia malipo kwa ajiri ya kuunganishiwa umeme, siku 90 zikapita hujaunganishiwa unatakiwa kufanya nini"?

Mimi nauliza swali, mnaniomba taarifa Binafsi, nikitoa taarifa Binafsi hamnijibu!
TANESCO mnakwama wapi?
 
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
Rejea maoni #12719, na 12722 ;
Hacheni ubabaishaji, mtuelekeze penye tatizo tuende, ni wizarani au ni wapi,
Kama tatizo lipo juu ya uwezo wenu mtueleze
 
Rejea maoni #12719, na 12722 ;
Hacheni ubabaishaji, mtuelekeze penye tatizo tuende, ni wizarani au ni wapi,
Kama tatizo lipo juu ya uwezo wenu mtueleze
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
 
tupokazini
Your browser is not able to display this video.
 
tupokazini
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…