Mimi nipo Kilimanjaro, mwezi June nikiwa safari nje ya Kilimanjaro , nilipigiwa simu umeme unawaka kasoro kwangu tu, nikapiga emergency nikapata no ya kuripoti nikatoa na maelekezo lkn hakuna aliyekwenda ,luku ikawaka yenyewe, ukakaa baada ya siku kadhaa ukazima Tena, Leo Jioni saa 12 umezima Tena na kwenye luku hakuonekani chochote nimewapigia emergency hawapokei mpk simu ya mezani, Mimi mteja wenu nifanyeje?

Na hii luku Pengine ni ya kumbadilisha inataka kufa, Maana Ina miaka zaidi 10 ,je ni Hali kuharibika vitu vyangu nilivyohifadhi na kulala Giza mara Kwa mara?

Je hii ndio huduma bora Kwa Mteja?
 
Tanesco mwanza mmejaa kuomba rushwa ombi toka mwezi wa pili mnajibu kuwa mpaka mwezi wa nane mtapata umeme wakati fremu za maduka mnaweka umeme jiheshimuni tafadhari
Ndugu Mteja, Usikasirike, usiumie TANESCO ipo kukusikiliza na kukuhudumia, tafadhali onesha namba ya simu au namba ya ombi na tatizo haswa kwa hatua zaidi
 
Tafadhali onesha namba ya taarifa au namba ya simu uliyotolea taarifa kwa hatua zaidi
 
APPLICATION NUMBER: 180522-0376 Mchekie huyu mteja wangu kalipia tayari lakini hajafungiwa umeme...
 
hauapaswi kuwa na hofu Nikonekt ni kilichobora zaidi
Ni kweli ile '' nikonekt App'' hatujapigwa kabisa....
sasa bado kukata kata umeme bila taarifa, boresheni hii app ianze kutoa taarifa ya kukatika kwa umeme
 
Tafadhali onesha namba ya taarifa au namba ya simu uliyotolea taarifa kwa hatua zaidi
No ya simu niliyopiga ni 0765397925 Tanesco Kilimanjaro. No ya ripoti ni 3378 ambayo nilipiga simu tarehe 23/6/2022 na no ya ripoti nyingine 4073 ambayo nilipiga simu tarehe 28/7/2022 na Bado nimekuwa nikiwapigia simu hata Ijumaa 29/7/2022 Jioni nilipiga kuwakumbusha ripoti yangu ya 4073 lkn wakasema watanipigia wake lkn hamna kitu. Mpaka nimeamua kuwaacha nione mwisho wake. Asante sana Kwa kuiona msg yangu.
 
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
Mrejesho. Nashukuru tanesco wameshatatua tatizo langu
 
Tanesco chalinze
Wapi mnakwama kupeleka umeme
Pale umasaini MORETO secondary?

Watoto wetu wanapata tabu umeme hamna MBUNGE na MADIWANI Wako
Mnafanya nn? Wasaidieni hawa watoto
 
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
 
Tanesco chalinze
Wapi mnakwama kupeleka umeme
Pale umasaini MORETO secondary??!!!
Watoto wetu wanapata tabu umeme hamna MBUNGE na MADIWANI Wako
Mnafanya nn??!!! Wasaidieni hawa watoto
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
 
Ni kweli ile '' nikonekt App'' hatujapigwa kabisa....
sasa bado kukata kata umeme bila taarifa, boresheni hii app ianze kutoa taarifa ya kukatika kwa umeme
Nikonekt Sasa unaweza kupata huduma za TANESCO kupitia Nikonekt APP, Nikonek.tanesco.co.tz au USSD kwa kubofya *152*00# , Nikonekt kilichobora zaidi kutoka TANESCO. Kwa maelezo zaidi tupigie 0748550000

TANESCO Tunayaangaza maisha yako
 
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
Mrejesho

Ndugu mteja!

Tunakujulisha kuwa eneo husika tumelitengea bajeti ya kusogeza miundombinu ya umeme ili wanafunzi na wateja wetu wa maeneo hayo wafurahie maisha na umeme, Tunaendelea na hatua za maandalizi ya utekelezaji wa mradi husika

Ahsante
 
Nikonekt Sasa unaweza kupata huduma za TANESCO kupitia Nikonekt APP, Nikonek.tanesco.co.tz au USSD kwa kubofya *152*00# , Nikonekt kilichobora zaidi kutoka TANESCO. Kwa maelezo zaidi tupigie 0748550000

TANESCO Tunayaangaza maisha yako
Nikonekt iko safi nimeikubali, hatujapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…