Tanesco

Nmelipia kuunganishiwa umeme
Na nmefanya malipo laki tano na elfu kumi na tano na point

Lakini paka sasa bado ndio nini lakini jamani
 
Hukupokea notification ya ukataji Umeme kwenye mkoa wako Leo?
Hawakusema hiyo majuzi wamekata na kurudisha zaidi ya mara 100 hadi tukaogopa wasije wakatuunguzia vitu vyetu,

Huku umeme yaani utasema wanafanya makusudi,kata rudisha dk 2 kata tena,

raia tushawachoka tanasco,

Mgao si umeanza jana tar 15,tumekatiwa saa 4 usiku walisema saa 12 wanarudisha na hawajarudisha,

Ngoja tusubiri maana kuna saa 12 nyingi.
 
Naomba namba ya emergency tanesco mbeya maana hizi hapa juu zote hazipatikani
 
Nguzo za umeme nyingi siku hizi zinachanika
Je nguzo hizi hazijandaliwa vizuri au inakuaje?
 
๐”๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐š๐ค๐ฎ๐š ๐ง๐š ๐ฌ๐ก๐ข๐๐š ๐ฒ๐š ๐ง๐ž๐ญ๐ฐ๐จ๐ซ๐ค ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฒ๐š ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฆ๐ž ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ฐ๐ž ๐ฆ๐ง๐š๐ค๐š๐ญ๐š ๐ฉ๐ž๐ฌ๐š ๐ข๐ ๐จ๐ฆ๐ž ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimenunua Luku imekuja token vizuri ila haitaki kuingia na kuwezesha umeme kuwaka nimeshajaribu mara nyingi mnoo mpk tunalala giza. TANESCO naomba msaada.
Dodoma emergency namba ni ipi? Au nafanyaje?
 
Nimenunua Luku imekuja token vizuri ila haitaki kuingia na kuwezesha umeme kuwaka nimeshajaribu mara nyingi mnoo mpk tunalala giza. TANESCO naomba msaada.
Dodoma emergency namba ni ipi? Au nafanyaje?
Namba yetu ni 0748550000, je ukiweka umeme unapata ujumbe gani tadhali
 
Namba yetu ni 0748550000, je ukiweka umeme unapata ujumbe gani tadhali
Duu mnajibu leo? Nimeshapata msaada. Ila nadhan hizi remote zenu mpya zina hitilafu mahali ni bora mkazibadili. Jana tulilala giza leo emergency ndo wamekuja kupanda huko juu kwny nguzo na kuingiza umeme huko huko juu.
 
@TANESCO Kwan ntakua gizan mpaka Lin Lakin ?? Miez 6 imeisha tangu nmelipia, sasa mpaka Leo umeme cjaunganishiwa
Mbona hvo Lakin ?

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ