TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tanesco

Nmelipia kuunganishiwa umeme
Na nmefanya malipo laki tano na elfu kumi na tano na point

Lakini paka sasa bado ndio nini lakini jamani
 
Hukupokea notification ya ukataji Umeme kwenye mkoa wako Leo?
Hawakusema hiyo majuzi wamekata na kurudisha zaidi ya mara 100 hadi tukaogopa wasije wakatuunguzia vitu vyetu,

Huku umeme yaani utasema wanafanya makusudi,kata rudisha dk 2 kata tena,

raia tushawachoka tanasco,

Mgao si umeanza jana tar 15,tumekatiwa saa 4 usiku walisema saa 12 wanarudisha na hawajarudisha,

Ngoja tusubiri maana kuna saa 12 nyingi.
 
Naomba namba ya emergency tanesco mbeya maana hizi hapa juu zote hazipatikani
 
Nguzo za umeme nyingi siku hizi zinachanika
Je nguzo hizi hazijandaliwa vizuri au inakuaje?
 
𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐬𝐡𝐢𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐞𝐭𝐰𝐨𝐫𝐤 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐧𝐮𝐧𝐮𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐦𝐞 𝐦𝐬𝐢𝐰𝐞 𝐦𝐧𝐚𝐤𝐚𝐭𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐢𝐠𝐨𝐦𝐞 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimenunua Luku imekuja token vizuri ila haitaki kuingia na kuwezesha umeme kuwaka nimeshajaribu mara nyingi mnoo mpk tunalala giza. TANESCO naomba msaada.
Dodoma emergency namba ni ipi? Au nafanyaje?
 
Nimenunua Luku imekuja token vizuri ila haitaki kuingia na kuwezesha umeme kuwaka nimeshajaribu mara nyingi mnoo mpk tunalala giza. TANESCO naomba msaada.
Dodoma emergency namba ni ipi? Au nafanyaje?
Namba yetu ni 0748550000, je ukiweka umeme unapata ujumbe gani tadhali
 
Namba yetu ni 0748550000, je ukiweka umeme unapata ujumbe gani tadhali
Duu mnajibu leo? Nimeshapata msaada. Ila nadhan hizi remote zenu mpya zina hitilafu mahali ni bora mkazibadili. Jana tulilala giza leo emergency ndo wamekuja kupanda huko juu kwny nguzo na kuingiza umeme huko huko juu.
 
TANESCO TANESCO

Kilimanjaro Wilaya ya rombo kuna shida gani mbona
Mnatufanyia hivi wateja wenu

Nmelipia kuunganishiwa umeme tangu tarehe 25 mwez wa Tatu mwaka 2022 Lakin cha ajabu mpaka Leo
Umeme cjaunganishiwa jaman

Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Rombo office ya tarakea tanesco
Jina : Aristidis S Shirima
Namba +255745140560
@TANESCO Kwan ntakua gizan mpaka Lin Lakin ?? Miez 6 imeisha tangu nmelipia, sasa mpaka Leo umeme cjaunganishiwa
Mbona hvo Lakin ?

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom