Kigoma na wilaya zake, kulikua na haja gani ya kutuunganisha na gridi ya taifa kama umeme wenyewe wa gridi ndio wa dizaini hii kila baada ya dakika kadhaa mnazima, mnasingizia kuwa wanakijiji wamechoma nguzo, ina maana hizo nguzo wanachoma kila dakika ama kila saa? Si bora mngetuachia tutumie tu yale majenereta yanayotumia mafuta ya kuendeshea mitambo?! Aargh 😡👺
 
TANESCO mtahudumia lini wateja waliolipia nguzo tokea mwezi wa tatu? Ama hamtoagi miongozo kwa mameneja na mafundi wakuu kwa kila mkoa
Aiseee hawa jamaa n shida mm tangu date 25th mpaka Leo cjaona umeme kabisa
Na hawaishiw excuse mara hakuna nguzo mara cjui waya yaaaan

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Mtaani kuna nguzo nyingi sana zimesimama 45° hamzioni au ni budget imeyumba
 
Mtaani kuna nguzo nyingi sana zimesimama 45° hamzioni au ni budget imeyumba
Ndugu Mteja!

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali tupatie taarifa kamili tuweze kuzifanyia kazi kwa haraka kama;

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000. ^ES
 
TANESCO emu semeni mna tatizo gani huku Njiro Arusha??

Mnakata umeme karibu kila week, week haiwezi kuisha hamjakata umeme kwa masaa 12..
mna nini lakini??

Asubuhi Themi mmekata mkarudisha alasiri kama sijasahau, sasa hivi mmekata tena??

Kati ya weekdays hizo zilizoisha Themi mlikata mkarudisha saa 12, narudi hiki kipande cha kuanzia Pillars kushuka huko chini nafika hamna umeme..
 
Tafadhali naomba kujua
Haya makato debt collection ni ya nini wkt sijakopa Chochote
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
 
Ndugu Mteja!

Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:

Jina

Wilaya

Tatizo

Simu

Namba ya Mita

Namba ya taarifa/Ombi kama ipo

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000

Makao Makuu
Z-#
 
Naomba kuuliza namna ya kupata nmba za mita za LUKU zilizoibiwa huko Bunju A, aliyeiba ameondoka na kadi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…