TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Dear Customer

Kindly share location and contact details for an action.
Mr TANESCO you seem to be uninformed or you have migrated to offshore countries you are asking location where there is blackout (I think its easier to name locations where they get power non stop) things are not Honky Dory.

But I don't blame you as you seem to have change for the worse since Mr Makamba took the position which brings me to the conclusion he might be the culprit.

AKA the weakest link...
 
Habari za Asubuhi Wana Tanesco, Napenda kujua Kwa nini mnaweka na kuchimbia Ngozo zenu Bila kufuatwa utaratibu WA Mipango Miji!? Hamjioni kuwa mipangilio mibovu ya Miji nanyi ni chanzo Kikubwa!?
 
Kuna ratiba inayotutaarifu wateja wenu juu ya kukatika katika maeneo mbali mbali. Ratiba hiyo inaonyesha umeme utakatwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni.

Cha kushangaza leo mmekata kuanzia saa 12:14 asubuhi kinyume na ratiba mliyoisambaza. Mbona mnatusababishia usumbufu usiowalazima?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ratiba inayotutaarifu wateja wenu wa Tanga juu ya kukatika katika maeneo mbali mbali. Ratiba hiyo inaonyesha umeme utakatwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Cha kushangaza leo mmekata kuanzia saa 12:14 asubuhi kinyume na ratiba mliyoisambaza. Mbona mnatusababishia usumbufu usiowalazima?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ratiba inayotutaarifu wateja wenu juu ya kukatika katika maeneo mbali mbali. Ratiba hiyo inaonyesha umeme utakatwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Cha kushangaza leo mmekata kuanzia saa 12:14 asubuhi kinyume na ratiba mliyoisambaza. Mbona mnatusababishia usumbufu usiowalazima?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ndugu Mteja
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, ni kweli huwa tunatoa ratiba ya makatizo ya umeme katika maeneo husika, Tafadhali tunaomba kujua eneo lako ili tuweze fatilia kwa karibu zaidi.
 
Pendekezo kwa Tanesco, lifanyieni kazi please

Kwa vile Tanesco haina fedha za kutosha kusambaza umeme kwa wahitaji wote na kwa muda muafaka napendekeza ifuatavyo:
1. Watu ni wagumu kuchangia kupata huduma ya umeme. Akitokea mtu/watu wakajitolea kuvuta umeme, basi wengine ambao wamegoma kuchangia kuvuta umeme huo, wasiwekewe umeme mpaka watakapo changia kiasi ambacho kitakuwa kimeamuliwa kutokana na gharama walizoingia wale waliovuta umeme.
Nina uhakika hii itawaondoa ugumu watu wasiopenda kuchangia. Hakuna anyeweza kukaa kwenye giza wakati jirani yake anapeta na umeme.

2. Kwa vile kuingiza umeme kama nguzo iko mbali ni gharama, napendekeza mtu apatiwe umeme (kama nguzo iko karibu naye). Bili yake ya LUKU iongezewe kulipia deni la umeme aliowekewa. Nadhani system yenu ya LUKU mnaweza kuiprogramme kuwa lazima afikishe kiasi fulani ndiyo ataweza kununua umeme kupitia mitandao ya simu. Ushirikiano na mitandao ya simu inaweza kufanikisha hili. Na wengi watapenda hii njia ya kupata umeme.

Naomba wengine waongezee alternatives za kuwezesha watu kupata umeme.

(kuna mdau humu amesema utaratibu huu namba 1 hapo juu waliutumia watu wa idara ya maji kuvuta maji, waliokataa kuchangia walinyimwa maji na baada ya kuona mafanikio, wote walilipa na kuunganishwa)
 
Naomba kuelekezwa kufanya maombi yakupimiwa kwa ajili ya kuingiza umeme katika taasisi( Shule) online

Nikipiga *152*00# pale kwenye madumuni ya umeme inaniletea
1. Makazi
2. Biashara
3. Kilimo
Lkn Taasisi sijaona, Naomba msaada tafadhari. Ahsante
 
Mrejesho

Ilinibidi nitoe rushwa baada ya kuzungushwa kama Bahasha bila msaada kwa zaidi ya mwaka na nusu, nilienda mpaka ewura wapi, piga simu kwa hawa Wenye jukwaa hili lkn wapi,ilinibidi nijiongeze na ndipo umeme ulipokuja kufungwa kwa speed ya radi, Bila Rushwa huwezi kufungiwa umeme trust me, ukibisha jaribu uone lakini usisite kuleta mrejesho hapa.
 
Ndugu Mteja!
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, tumepokea taarifa yako kwa hatua za haraka

TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Makao Makuu^IT
Mkurugenzi Mkuu TANESCO.
-Ninauliza kama kuna changamoto na mfumo wa Ni-connect,kwa maana mzee wangu alilipia huduma ya (tarehe 29/09/2022 ) kuunganishiwa umeme,eneo la Mwanalugali, Kibaha, Mkoa wa Pwani lakini mpaka leo,ninapoandika ujumbe huu,hakuna mrejesho na huduma haijatolewa.

-Licha ya kitengo cha huduma kwa wateja Makao Makuu, kusema kuwa shirika litachukua hatua za haraka tarehe 04/10/2022.

Maoni
1). Inavyoonekana kuna wateja wengi waliomba huduma kwa mfumo wa Ni-connect,lakini bado hawajapata huduma au Kama ilivyo kwa mzee wangu.

2). Inavyoonekana kuna hujuma za watendaji wa chini,dhidi yako Mkurugenzi Mkuu,au Waziri mwenye dhamana ya umeme au wana hujumu juhudi za Rais wetu.

3).Kama mfumo wa Ni-connect una changamoto ,ni vema wateja wakajulishwa.

4). shirika limetumia fedha nyingi kulipa wachekeshaji kutoa tangazo la ni-connect, au shirika linafanya propaganda badala ya kununua vifaa vya kutoa huduma.

5). Mfumo wa Ni-connect uwe unatoa mrejesho (feedback) pindi mteja anapocheleweshewa kupata huduma ndani ya muda uliowekwa.

Ushauri.
1). Mamlaka husika zijitafakari na watoe huduma kwa weledi,kama nyenzo zipo.

2). Kama kuna uzembe au wafanyakazi wanataka kuhujuma shirika, wajitafakari.

3). Kama shirika limekuwa kubwa,kiasi kwamba inashindikana kuliongoza,ni vema likagawanywa na kuwa na kampuni tanzu tatu (Generation, transmission na distribution)

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mrejesho

Ilinibidi nitoe rushwa baada ya kuzungushwa kama Bahasha bila msaada kwa zaidi ya mwaka na nusu, nilienda mpaka ewura wapi, piga simu kwa hawa Wenye jukwaa hili lkn wapi,ilinibidi nijiongeze na ndipo umeme ulipokuja kufungwa kwa speed ya radi, Bila Rushwa huwezi kufungiwa umeme trust me, ukibisha jaribu uone lakini usisite kuleta mrejesho hapa.
Mkuu uliwaongezea kias gan mpaka wakaja
Kwa hyo kas ya radi

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Mkurugenzi Mkuu TANESCO.
-Ninauliza kama kuna changamoto na mfumo wa Ni-connect,kwa maana mzee wangu alilipia huduma ya (tarehe 29/09/2022 ) kuunganishiwa umeme,eneo la Mwanalugali, Kibaha, Mkoa wa Pwani lakini mpaka leo,ninapoandika ujumbe huu,hakuna mrejesho na huduma haijatolewa .
-Licha ya kitengo cha huduma kwa wateja Makao Makuu, kusema kuwa shirika litachukua hatua za haraka tarehe 04/10/2022.

Maoni
1). Inavyoonekana kuna wateja wengi waliomba huduma kwa mfumo wa Ni-connect, bado hawajapata huduma au labda ni mzee wangu.
2). Inavyoonekana kuna hujuma za watendaji wako wa chini,dhidi yako,au Waziri mwenye dhamana na umeme au wanamuhujumu Rais wetu.
3).Kama mfumo wa Ni-connect una changamoto ,ni vema wateja wakajulishwa,shirika kimetumia fedha nyingi kulipa wachekeshaji kutoa tangazo, au propaganda badala ya kununua vifaa vya kutoa huduma.
4). Mfumo wa Ni-connect uwe unatoa mrejesho (feedback) pindi mteja anapocheleweshewa kupata huduma ndani ya mudae uliowekwa.

Ushauri.
1). Mamlaka husika sijitafakari na watoe huduma kwa weledi,kama nyenzo zipo.
2). Kama kuna uzembe au wafanyakazi wanataka kuhujuma shirika, wajitafakari.
3). Kama shirika limekuwa kubwa,kiasi kwamba inashindikana kuliongoza,ni vema likagawanywa na kuwa na kampuni tanzu tatu (Generation, transmission na distribution)

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ndugu Mteja

Tafadhali onesha namba sahihi ya ombi au namba ya simu uliyofanyia ombi lako la umeme kwa hatua zaidi, Haupaswi kuwa na hofu na Nikonekt kwa kuwa ndio kilichobora kwa wateja wetu

Ahsante
 
Mrejesho

Ilinibidi nitoe rushwa baada ya kuzungushwa kama Bahasha bila msaada kwa zaidi ya mwaka na nusu, nilienda mpaka ewura wapi, piga simu kwa hawa Wenye jukwaa hili lkn wapi,ilinibidi nijiongeze na ndipo umeme ulipokuja kufungwa kwa speed ya radi, Bila Rushwa huwezi kufungiwa umeme trust me, ukibisha jaribu uone lakini usisite kuleta mrejesho hapa.
Je ulitoa rushwa kwa nani na kwa huduma gani?
 
Naomba kuelekezwa kufanya maombi yakupimiwa kwa ajili ya kuingiza umeme katika taasisi( Shule) online

Nikipiga *152*00# pale kwenye madumuni ya umeme inaniletea
1. Makazi
2. Biashara
3. Kilimo
Lkn Taasisi sijaona, Naomba msaada tafadhari. Ahsante
Kwa waombaji wasio na namba ya NIDA au TIN wanapaswa kuomba kwa kufikia ofisi zetu mpaka pale tutakapokamilisha baadhi ya hatua kuwawezesha kufanya maombi kwa njia ya mtandao
 
Back
Top Bottom