kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Namba ya kumbukumbu ya malipo ni 991033783871 ya September 28,2022.Ndugu Mteja
Tafadhali onesha namba sahihi ya ombi au namba ya simu uliyofanyia ombi lako la umeme kwa hatua zaidi, Haupaswi kuwa na hofu na Nikonekt kwa kuwa ndio kilichobora kwa wateja wetu
Ahsante
Yani hawa sio ajabu wakaja kusema hvoPoleni sana, ngoja waje kukupa muongozo kwa kukuomba number ya simu na location...
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasaa huu, Tafadhali tupatie taarifa zako kamili ili tuweze kufatilia taarifa yako, Jina, Simu, Mkoa, Wilaya, Tarehe uliyolipia, ili tuweze fatililia kwa haraka ndundu mteja wetu^ITHili shirika cjui tatizo nini kwakweli
Waziri WA hii wizara MH january makamba
Kwakweli hawa TANESCO wametuchosha
Na sababu zao kila siku hawakos sababu
Kuunganishiwa umeme imekua n tatzo tatzo
Zaid
Mwazi march tarehe 25 nmelipia kuunganishiwa umeme nguzo mbili
Office ya Tarakea tanesco Wilaya ya Rombo
Mkoan Kilimanjaro.
Lakin cha ajabu mpaka Leo umeme
Sijaunganishiwa jaman kila nikienda
Sababu haziwaish mara hakuna vifaa,mara nguzo hakuna,mara cjui gar yani sababu
Chungu nzima.
Jaman wanaohusika na hili watusaidie
Viongoz WA mkoa na Wilaya,
Miez 7 imepita sasa bila kuunganishiwa umeme kweli hii ni haki
TANESCO TANESCO
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasaa huu, Tafadhali tupatie taarifa zako kamili ili tuweze kufatilia taarifa yako, Jina, Simu, Mkoa, Wilaya, Tarehe uliyolipia, ili tuweze fatililia kwa haraka ndundu mteja wetu^IT
Changamoto nyingine iliyopo sasa hivi, wateja wote wanaounganishiwa umeme kwa matumizi ya nyumbani. Mita zao zimesetiwa kwa matumizi ya kati.Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasaa huu, Tafadhali tupatie taarifa zako kamili ili tuweze kufatilia taarifa yako, Jina, Simu, Mkoa, Wilaya, Tarehe uliyolipia, ili tuweze fatililia kwa haraka ndundu mteja wetu^IT
Binafsi sikutoa rushwa nazani ilikua bahati yanguMrejesho
Ilinibidi nitoe rushwa baada ya kuzungushwa kama Bahasha bila msaada kwa zaidi ya mwaka na nusu, nilienda mpaka ewura wapi, piga simu kwa hawa Wenye jukwaa hili lkn wapi,ilinibidi nijiongeze na ndipo umeme ulipokuja kufungwa kwa speed ya radi, Bila Rushwa huwezi kufungiwa umeme trust me, ukibisha jaribu uone lakini usisite kuleta mrejesho hapa.
Mkuu nazani wamesema namba ya ombi sio hiki ulichotuma I guess-Namba ya kumbukumbu ya malipo ni 991033783871 ya September 28,2022.
-Simu namba 0754323132
-Receipt ya malipo 922272129040163 ya 2022-09_29 saa 5.27.34(in English time is11.27.34).
-Malipo yalilipwa kupitia CRDB Bank.
-Eneo Mwanalugali, kiwanja cha hisia Kali, Kibaha township.
Ninatanguliza shukrani za awali
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nmelipia kuunganishiwa umeme tangu tarehe 25 mwez wa Tatu mwaka 2022 Lakin cha ajabu mpaka LeoAhsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasaa huu, Tafadhali tupatie taarifa zako kamili ili tuweze kufatilia taarifa yako, Jina, Simu, Mkoa, Wilaya, Tarehe uliyolipia, ili tuweze fatililia kwa haraka ndundu mteja wetu^IT
Ndugu MtejaNmelipia kuunganishiwa umeme tangu tarehe 25 mwez wa Tatu mwaka 2022 Lakin cha ajabu mpaka Leo
Umeme cjaunganishiwa jaman
Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Rombo office ya tarakea tanesco
Jina : Aristidis S Shirima
Namba +255745140560
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Balaa tena hiliNimelipoa Gharama za kubeba nguzo kuja eneo langu toka December 2021 mpaka sasa napigiwa danadana,tatizo nini? Sijatoa cash ila nimelipa kwa akaunti ya benki
Ahsante nasubir utekelezaj wenu kama taasisiNdugu mt
Ndugu Mteja
Tumepokea taarifa yako kwa utekelezaji wa haraka^IT