Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morogoro Turiani ndio usisema kbs umeme unakatika Karibu Kila siku, hivi wameuchukua asb mpk saa 1 Usk huu haujarudi ,hakuna taarifa Wala chochote ,TANESCO mlisema mnakata umeme kuanzia alfajiri saa 11 hadi saa 5 asubuhi.Sasa saa hizi saa 6 mmekata Kimara.Tushike lipi?
Mida ya kazi hii mnatutia hasara nyinyi watu,kila siku hamuishu sababu.
Sababu zenu hazihalalishi incompetence yenu kwamba tuna shirika ambalo kila mda linashindwa kutoa huduma endelevu kwa wananchi.
Mimi humu nalumbana na nyinyi tangu 2012 na majibu yenu ni haya kwamba mnaboresha miundombinu.
Tangu 2012 tunasubiri miundombinu iboreke,tunazeeka tukisubiri nyinyi,biashara zetu zikiharibika kabisa,kweli?hii ni hoja ya maana?!
Hapa tumekaa tumezima mashine,tunasubiri Tanesco warudishe umeme na ndio trend miaka nenda rudi!msss!
Ndugu mteja tafadhali fanya manunuzi ya umeme muda huu, kabla ujaingiza Token zako za umeme kwanza fanya zoezi hili, Ingiza hizi namba za key change kundi la kwanza (2877 3153 6083 5256 9256 Bonyeza OK) Kundi la pili (4320 1659 8340 5655 9936 Bonyeza OK) Baada ya hapo unaingiza token zako za umeme TANESCO Huduma Kwa Wateja SIMU:0748 550000^IT
|
Habari, pole kwa changamoto unayoweza kuwa uliiptia, tafadhari tupatie taarifa kamili ya kukatiwa kwako umeme, ili tufatilie na kuweza kuifanyia kazi.Hivi iliwahi kutolewa sababu ya kupunguza jitihada za kutumia gas kuzalisha Nishati na kuongeza jitihada za kuzalisha umeme Kwa kutegemea vyanzo vingine?
Hivi Kuna taarifa gani kuhusu vijana waliokuwa wanaajiriwa Kwa mkataba Tanesco na kusaidia kazi kwasasa wapo wapi? Mmewafukuza? au mmebadili utaratibu ili KAZI kubwa ifanywe na wachache Kwa tija ndogo?
Je,huu Wizi unaoendelea wa VIPURI vya Tanesco havihusiani na kuwafukuza hawa waliokuwa watumishi wa Tanesco?
Je,Shirika letu pendwa linataarifa kwamba sasa Wizi wa umeme,Mita na Transfoma umeongezeka?
Badala ya kukaa na kutafuta ufumbuzi wa matatizo mnapanga kuondoa huduma ya matumizi MADOGO Kwa wateja Maskini!
Haya ni mawazo yangu tu yametokea nilipokatiwa umeme ghafla wakati AMBAPO nilikuwa nauhitaji mkubwa na kukosekana Kwa umeme kumenipa hasara kubwa najuta.
Mmmh!! Mwezi WA 10 ilikuwa elfu 21 boss mbna unatupiga na kitu kizito me nililipia mwezi WA 12 nikafungiwa mwezi WA Tatu hiyo 320 ulilipia na nguzo au 3phase ??Naomba kuuliza, hivi inachukua siku au miezi mingapi kuingiziwa umeme yumbani baada ya kufanya malipo tanesco?
Maana nimelipia laki 320 na mia kadhaa toka 24/10/2022 hadi leo kimya, labda leo watakuja sijui na hakuna taarifa yoyote niliyopewa hadi sasa!
Niliambiwa ndiyo ghalama ya kawaida! Ni ndani ya mita 30 na wala siyo 3phase. Niko ndani ya manispaa na siyo umeme wa REAMmmh!! Mwezi WA 10 ilikuwa elfu 21 boss mbna unatupiga na kitu kizito me nililipia mwezi WA 12 nikafungiwa mwezi WA Tatu hiyo 320 ulilipia na nguzo au 3phase ??
Asante kwa taarifa tumeipokea kwa hatua zaidiMi nipo Shinyanga, barabara iendayo Magereza, Ushirika Chamaguha. Hivi, inakuwaje, karibia kila siku maeneo yetu kukatwa umeme, lakini maeneo mengine hatuoni tatizo hilo? Leo, toka ukatwe jana jioni, umerudishwa leo saa mbili asubuhi. Muda huu, umekatwa tena, hatujui utarudi muda gani!
Hivi, kama ni mgawo, ni maeneo yetu tu? Naomba kufahamishwa ni tatizo gani linalosababisha hivyo!
Tena kibaya zaidi wanakata baada ya dk3 unarudi wanakata tena yaani Kama wanafanya kamchezo[emoji30]Mnakata umeme bila taarifa wakati platform zote za habari mnazo tangazeni instagram ratiba ya mgao, twitterna facebook.