Ndugu mtejaKwakweli mmetutesa sana TANESCO Kagera wiliya Muleba kata IKONDO leo siku ya pili tunalala gizani na shughuli za kiuchumi zinakwama kukaa gizani cijui ndo mmeona kunatufaa hata sikukuu hatjaifaidi yani Kama tupo kisiwani miaka 61 ya uhuru umeme Bado ni tatizo ni aibu kubwa sana tuhurumieni jamani TANESCO
Sijaona mtu yoyote akitoa comment kuhusu kauli hii ya Tanesco Official; it means kwakuwa gharama hazikuwahi kubadilika ina maana TARIFF ORDER 2016 inaenda kubadilika; sasa hatujui ni lini na watapandisha kwa kiasi gani hilo ndilo tatizo, na hapo huenda hata wataenda kufanya review ya hizo TARIFF ambazo zipo sasa, kwa Mazingira hayo hata bei za manunuzi ya umeme huenda zikapanda. Rai yangu; tuzingatie maisha halisi ya mtanzania tusifanye kwa utashi wetu. Kuna wengine huko mtaani hiyo laki3 imewashinda sasa ikiwa laki5 wataweza?? Maisha ya mtanzania yataendelea kuwa duni kwa staili hii.Ndugu Mteja
Tafadhali zingatia kula gharama hizi hazijabadilika toka mwaka 2016
Ahsante sana
TANE.SCO, nimeripoti tatizo la umeme toka tarehe 9/12/2022 saa 1 :38 jioni ticket No# 999686 hadi leo hamjashughulikia. Please naomba msaada wenu 0682598926 Blacket inatoa cheche sana.
Hivi tatizo la device ya Luku kujikopa inasababishwa na nini?
Asante mmekuja na kutusaidia.Ndugu mteja,Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali, Tunawaomba radhi kwa adha yeyote uliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo. namba yako ya huduma ni #1110325 hakikisha unapatikana hewani. Ahsante. ^EB
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
OK asante sana.Ndugu mteja ,baada ya hatua ya ujazaji maji kwenye bwawa, hivi karibuni mitambo ya kufua umeme itaanza kazi ^EB
Tumepata ufumbuzi wa kurudishiwa umeme Kwa kuunganisha nyaya zilizokuwa zipo chini. Ila Tatizo la kudumu huenda likaendelea kuwepo,maana hii line Ina miti mingi na miti hiyo hajakatwa,Tanesco fanyeni mpango hii miti ipuruniweTicket namba 1127203 na 1127273
Tumereport ni emergency mbona kimya,au mpaka Mtaa uungue ndo mtakuja.
Aiseee baada ya kuhangaika Sana toka mwez wa 3 mwaka Jana 2022 wamekujaTANESCO TANESCO
Kilimanjaro Wilaya ya rombo kuna shida gani mbona
Mnatufanyia hivi wateja wenu
Nmelipia kuunganishiwa umeme tangu tarehe 25 mwez wa Tatu mwaka 2022 Lakin cha ajabu mpaka Leo
Umeme cjaunganishiwa jaman
Mkoa: Kilimanjaro
Wilaya: Rombo office ya tarakea tanesco
Jina : Aristidis S Shirima
Namba +255745140560