Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ni wapi huko mkuu?Huku kwetu Iselamagazi hamna umeme usiku huu. Vipi eneo lako upo au haupo?
kimara hamna umeme hamna muda huuHuku kwetu Iselamagazi hamna umeme usiku huu. Vipi eneo lako upo au haupo?
Fanya chap wakiondoka nao kuuona tena mpaka kesho muda kama huu.Mh huku upo ngoja ni charge simu
Mimi napoishi uneme umeimarika sana awamu hii yani ukikatika haumaliza saa 2 umerudi napo ni nadra sana kukatikaHuku kwetu Iselamagazi hamna umeme usiku huu. Vipi eneo lako upo au haupo?
Fanya chap wakiondoka nao kuuona tena mpaka kesho muda kama huu.
Nipo kimara upoMuda huu Dsm karibia yote haina umeme
Makamba anafahamu au ndo yale mambo yake ya kutengeneza matatizo ya umeme ili apewe fedha za ukarabati na matengenezo yasokwisha?
Taifa la hovyo kweli hili